Mkuu hapo juu....kufutwa kazi bila utumishi sio kuwa basi wanakufuta na huonekani tena....Pale utumishi kila kitu kina status yake....alofukdzwa...alokufa....alostaafu...aloacha kazi kwa kibali..nk.....Kwahyo yeye atakuwa ana status inayoonesha kafukuzwa....
Kwa uzoefu wangu aombe kibali kwa chief secretary tu....minimum inachukua mwaka na nusu ila kwa sasa ndo navyo vimesitiahwa
Ndo hatua gani,coz ameandika barua hadi now no majibu,toka kwaka jna july sasa anataka aanze upya kwa kutumia degree yke je atapenya kwa mfumo huu wa lawson au afanye mbinu ya kuchange birth cPole sana hilo tukio lilimtokea dada yangu mwaka
pole sana hilo tukio lilimtokea dada yang na yy alipata nafas ya kuendelea degree mkurugenz akamuomb ruhusa akakataa ikabidi aende kwa lazima sababu alipata mkopo asilimia mia,alipoenda akapokea mshahara miez miwili baada ya hapo akawa hapati mshahara ila wenzake wakawa wanamwambia slpsrr zako zinaoneka hapo ofisini,so baada ya miaka yake kuisha chuo akaenda kuripot kazini akakuta barua ya kufukuzwa kazi kapewa ila ilionekan kulikuwa na mchezo watu wa halmshaur wanakula mshahara wake na barua ya kazi alipewa bila kuwa na sain yoyote.so ili bidi afatilie dar tamisemi,wakamsaidia so wahusika walichukuliwa hatua na yy akapata Ajira upya,na aliambiwa ili aludishiwe mishahara yake kuna process anatakiwa azipate,ningekushauri ufate taratibu zote ili upate haki yako
Pole sana hilo tukio lilimtokea dada yangu mwaka

Sasa ni process zip hizo,coz aliandika baruawilayani lkn wamesema hd wapeleke mkoani na mkoani iende taifani na kwa kuwa alishajaza form za ajira mpya toka chuo anahisi maybe znaweza tangulia post auPole sana hilo tukio lilimtokea dada yangu mwaka