Recent content by BAKOI

  1. BAKOI

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Pep mwenyewe anasepa
  2. BAKOI

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Unajitetea bure tu ila kubali ukweli huwez kuwaweka kwenye kikosi chako watu ambao hujawachek kila week live zaidi ya hizo recorded chache, youtube au LFCTV. Kuhusu hiyo LFCTV Ndani ya Azam TV hata sasa hivi naifatilia na wanaonyesha "" 60 MINUTES WITH PATRICK BERGER"". Toa kikosi chako kwa watu...
  3. BAKOI

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Nadhan ungesema kikosi chako bora kwa era yako. Huwezi kumuweka mtu kama dahlish , Barnes na rush coz hujawaona wakicheza hawa zaidi ya viklip tu
  4. BAKOI

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Jichanganye sasa
  5. BAKOI

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Aliuzwa kwa euro 19m
  6. BAKOI

    JamiiForums Tanzania Ndoto hii ina maana gani?

    Hapo ndo nachanganyikiwa sasa. Japo gani hilo natakiwa kulitimiza
  7. BAKOI

    JamiiForums Tanzania Ndoto hii ina maana gani?

    Niko kimaisha
  8. BAKOI

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu mchongo wa viazi vitamu kuuza ramadhani

    Unataka kulimia wapi?
  9. BAKOI

    JamiiForums Tanzania Ndoto hii ina maana gani?

    Habari wapendwa wa jukwaa hili, Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto hii; niko sekondari na washkaji zangu wawili (katika hao wawili mmoja nimesoma naye kweli sekondari lakini mmoja tulisoma naye primary) na tulikuwa tukifundishwa somo la Kiswahili na mwalimu ambaye kiuhalisia alinifundisha somo...
  10. BAKOI

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Jude alikuwa anaitaka Madrid ndo mana ilishindikana
  11. BAKOI

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Cheki ripoti za muda huu kwa Melisa utajisahihisha
  12. BAKOI

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Naona tumerudi kwa caicedo sasa
  13. BAKOI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wahudumu wa guest/lodge wapewe tuzo zao

    East P ndo wapi hapo moshi tukienda tujishindi
  14. BAKOI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetokea kupendwa, nifanyeje nami simtaki?

    "Kama Jana baada ya kutangaziwa matokeo ya UE" Mnatangaziwa matokeo???
  15. BAKOI

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukiwa na kitu hiki hata kama handsome umenikosa

    Ya kwangu inaenda sawa na TV
Back
Top Bottom