Recent content by bakarikazinja

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nikitumia vidonge vya la six lazima nitumie ndizi na situnda jingine

    1.mimi na matatizo ya presure wakati mwingine inakuwa juu wakati mwingine chini na tumia vidonge vya la six ambavyo kwa siku masharti yake lazima ni tumie ndizi moja je siwezi kula tunda jingine kusaidia dawa hizo au kupunguza madhara vilevile ni madhara gani nitakayopata nisipo kula hilo...
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Samahani wakaka mtakaoudhika na hisia hizi

    mmm dada merry pole sana na mawazo yako ambayo mimi nayaona mabaya ingawa wewe mwenyewe unayaona ni mazuri hivyo cha kufanya naomba usifanye mambo kwa kukurupuka kwanu uwezi jua nikiasi gani utamtenda mwezio pindi atakapo gundua kwamba una tembea nje ya ndoa...
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msaa kuichambua hii proposal iwe ya kiingereza cha kweli

    mmm haya usiofu wataalamu karibu wanakuja
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unyumba kabla ya nyumba

    mimi na dhani kwa kipindi hiki ni muhimu sana kabla hamjaoana mchunguzane vya kutosha mkishaona mmerdhika hapo sasa ruksa wapendwa wangu
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba jirani kanipa gari mchumba wangu akaamua kuniacha

    sikiliza dada MARTINA kitu nilicho gundua kutoka kwako una self confidence na ndiyo maana unakuwa na nafsi ya kudhani ambayo katika maisha inakuwa siyo nzuri sana na chotaka kukushauri kwa suala kama ilo ni bora ukamweka wazi mwenzi wako kwa kumshaurisha...
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wapendwa!!!!!

    nashukuru sana LD kwa mchango wako yaani ulikuwa umetulia na yule dada ameisha mkubalia baba yake kuhuswala la ndoa ya mama wa kambo
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wapendwa!!!!!

    LD dada yangu yaani NIMEUMIA kweli yaani nimeisi kama vile ni mama yangu anafanyiwa hivyo hata hivyo huyo mama bado hajachelewa kuna vyuo vingi vya ujasilia mali au vitu vingi vya kina mama vya kujifunza mbinu mbalimbali za maisha anaweza kuungana nao halafu...
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujadili Kiukweli (Wanaume tu)

    mmm mambo iko huku wote ni kondoooo wako fanya utakavyo
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania njia ya kupunguza ngono zembe

    michelle pole maana nililia kumbe ulitoka kwa muda tu na siyo ban
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama unaweza njoo

    okay mimi na kutakia mafanikio mema ila kwa hivyo ulivyosema mchuchu utawapata wenye busara ngoja lizy aje utasikia
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama niwewe ungefanyaje?

    ndiyo mitiani hiyo kazini hivyo jitahidi utashinda
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je aishi vipi na mama wakambo kwani mama wa kambo simama....///

    ni kweli anaupendo na watoto wake tena sana ila ili swala la kuoa ndio limewauzi sana kuhusu umri husniyo ni miaka 22yrs
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwa nini nguruwe anaitwa kiti moto?

    wahenga nime wapata kwa tenzi zenu
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nisameheni.

    karibu jisikie nyumbani////
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ipe Habari Picha hii

    du hayo ndio mapenzi ya dhati kwa sasa uwezi ukaona
Back
Top Bottom