Baba jirani kanipa gari mchumba wangu akaamua kuniacha

Ungemhusisha kwenye kikao cha "Negotiation" angekuelewa. Hata hivyo mali imetoka kwa ridhaa ya wanandoa ana hofu gani? Ila sisi wanaume tunamafungufu yetu, hatupendi kuwa chini ya mwanamke kwa namna yeyote ile hasa kwenye issue ya mali, huyo mchumba ana gari?
yes analo na isingewezekana kumuhusisha kwenye negotiation kwa kuwa ilitokea kwa coincidence sikuwa nimejiandaa kwa haya mazungumzo.Vipi siku demu wako akipewa gari na mbaba ikaa vipi hapo?
 
yes analo na isingewezekana kumuhusisha kwenye negotiation kwa kuwa ilitokea kwa coincidence sikuwa nimejiandaa kwa haya mazungumzo.Vipi siku demu wako akipewa gari na mbaba ikaa vipi hapo?

Usizungumzie gari, hata akipika kuku wakati niliacha pesa ya kutosha tu nusu kilo ya nyama....................kama wewe unajitosheleza achana na biashara za kuolewa kama ni kunyoshwa viungo hao hawakosekani
 
duuh unazidi kuniogopesha.
 
mama mchaga, baba mngoni nimezaliwa na kukulia the geneva of Africa 'ARUSHA'
nina mchumba Mmasai, ADMINISTRATOR wa Tour operators flani.

ILIKUWA HIVI!!!
Wanandoa:angala ulivyochafuka viatu kwa tope, ingina tukupe lifti,NIKAINGIA.
Mume mtu:huna kigari au unataka ya kifahari?
Tina: hela sina hata starlet natamani
Mkewe:Tukuuzie ile Corrola ipo imepaki home mil 4 :Tina:Sina hata mil3.
Mume mtu tupe mil 2 tuende Nairobi kupumzika.Tina:hata hiyo sina.
Mkewe:Sema hutaki gari (mwaka jana tuliinunua mil 8 showroom)tafuta fundi wako akae nayo mwezi mzima incase ila hatukupi bure lazima mil 2 uje kutoa tunajua unazo kabisaaa

Nilimweleza mama/dad na baba/kaka flani wakaniambia Mchumba hatanielewa kivipi nipewe (only 2 mil kwa gari ya 8mil tena lipa mwakani) gari na mbaba jirani na tena naweza achika.Mil2 NINAYO siwezi mdanganya nimenunua kwa 6/7 manake anajua flow yangu ya pesa.Niliota kuachika navutia muda uamuzi wa kuchukua

Wana JF will this car cost my love?kwa nini wanaume wapo hivyo?manake hawa wananikikutana nao huniuliza vipi?hawataki niifanyie udalali kwa kuiuza nikiipata.
Bahati ya mtende hiyo kuotea jangwani,fanya uchukue hako kagari upambane na mbwembwe za dala dala!!
 
yes analo na isingewezekana kumuhusisha kwenye negotiation kwa kuwa ilitokea kwa coincidence sikuwa nimejiandaa kwa haya mazungumzo.Vipi siku demu wako akipewa gari na mbaba ikaa vipi hapo?

Umesema umepewa offer na mke na mume, sio "mbaba" peke yake, au sio?
 
Mshirikishe Mchumba ako, halafu uone atasema nini!!
Kama huna hila wala nia mbaya, mueleze ukweli juu ya hicho unachotaka kufanya!!

Tena ningekuwa mimi ndo wewe yeye ndo angekuwa wa kwanza kujua, hasa nikizingatia ni "MCHUMBA".
Halafu nione atasema nini, na nina imani hadi umemwita mchumba atakushauri vizuri tuuu!!!!
 
sikiliza dada MARTINA kitu nilicho gundua kutoka kwako una self confidence na ndiyo maana unakuwa na nafsi ya kudhani ambayo katika maisha inakuwa siyo nzuri sana na chotaka kukushauri kwa suala kama ilo ni bora ukamweka wazi mwenzi wako kwa kumshaurisha alafu ukaona atakupa ushauri gani mimi na dhani jaribu kwanza hilo halafu uniambia amesemaje halafu ntarudi tena kuendelea kukushauri
 
Sasa marytina kwani umepewa bure?
Si utailipia?
Au imekutisha kutoka mil 8 hadi 2?
Ni kwasababu imeshadepreciate.
Gari sio kama ardhi kusema inaongezeka value kadri siku zinavyoenda.
Kama unaogopa nenda kwa mpenzi wako kwa gia ya kuongezewa pesa, mwambie kuna gari inauzwa umeruhusiwa kulipia kwa installment ila pesa yako haitoshi kwahiyo unalipia sasahivi kiasi ulichonacho ili ulichukue halafu unaomba akuongezee kiasi kitakachobakia baada ya muda ili umalizie deni.
 
hamjaoana wasi wasi wa nini? Wewe mwambie umepata gari kwa bei rahisi na unataka kulinunua...gari bei inashuka kila siku so usiogope kutoka milioni 8 mpaka milioni 2.
 
Sasa marytina kwani umepewa bure?
Si utailipia?
Au imekutisha kutoka mil 8 hadi 2?
Ni kwasababu imeshadepreciate.
Gari sio kama ardhi kusema inaongezeka value kadri siku zinavyoenda.
Kama unaogopa nenda kwa mpenzi wako kwa gia ya kuongezewa pesa, mwambie kuna gari inauzwa umeruhusiwa kulipia kwa installment ila pesa yako haitoshi kwahiyo unalipia sasahivi kiasi ulichonacho ili ulichukue halafu unaomba akuongezee kiasi kitakachobakia baada ya muda ili umalizie deni.
Thanks dear,certainly Yes umenipa mwanga fulani.
 
Chukua hiyo gari, lakini mshirikishe MCHUMBA 100% usije baki na gari na mchumba akatimka.
 
Nipo si unajua mkoloni tena, halafu mabomu nayo yalinikosa yalikuwa yananipita kwenye mashavu hata hivyo mimi mzima, sijui wewe mwenzangu
mimi mzima nilkuwa na nipo arusha nawaonea huruma poleni wandugu kwa hayo mabomu
 
Back
Top Bottom