Nikitumia vidonge vya la six lazima nitumie ndizi na situnda jingine

bakarikazinja

Senior Member
Nov 9, 2009
177
8
1.mimi na matatizo ya presure wakati mwingine inakuwa juu wakati mwingine chini na tumia vidonge vya la six ambavyo kwa siku masharti yake lazima ni tumie ndizi moja je siwezi kula tunda jingine kusaidia
dawa hizo au kupunguza madhara vilevile ni madhara gani nitakayopata nisipo kula hilo tunda
2.tatizo lingine ni ganzi mikononi na miguuni
 
Lasix ni dawa inayokufanya upoteze maji mwilini kwa njia ya mkojo na pia kupoteza potassium katika mwili. Potassium Ina umuhimu katika kusaidia electrical activity ya misuli, moyo. Ndizi Ina potassium kwa wingi na hivyo ndo maana daktari alikushauri kula angalau kukusaidia ku-supplement the potassium needs for your body
 
Back
Top Bottom