Ipe Habari Picha hii

Ipe Habari Picha hii

Wanawake wamekuwa watu wa kunyanyaswa tangu enzi za kale, hii sijui ndio harusi, bwana kavaa viatu bibie anatwanga na kupepeta pekupeku!
jamani kavua mchuchumio ili aselebuke vizuri
 
hahahahahahah babu k umeua:wink2:
usifanye utani huyo ticha toka siku hiyo kawa mshkaji kinoma,siku hizi tunaonana sana kwenye masanga nikimkumbusha huwa anaishia kuona noma tu.
 
usifanye utani huyo ticha toka siku hiyo kawa mshkaji kinoma,siku hizi tunaonana sana kwenye masanga nikimkumbusha huwa anaishia kuona noma tu.
fimbo zote za miaka saba alizilipia siku hiyo,hahahahahahaah.
 
Aliyeleta thread hii kaomba tuipe habari picha hii, lakini sijaona hata mmoja aliyeipa "habari picha hii"! ..........Akuu mimi nimevua viatu nicheze twist vizuri, wewe unaleta ubitoz wako!!!
 
enzi hizo kila mtu na style yake..no marashi no manukato.....wakitoka hapo.....puya lake ni noumaaaaa....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom