Recent content by Bakariforever

  1. B

    Watu wa Bara acheni ushamba na ujuaji mkija Mjini

    Kweli bwana wanachosa sana wakija pwani wanataka uanze kuutumia utamaduni wao wa bara mara utasikia watoto wa pwani hawana heshima, mara hili mara lile watuache tunajuana wenyewe
  2. B

    Nifanye nini ili nisimkumbuke? Ananiumiza sana

    Kumbuka mabaya yake mara kwa mara na futa kumbukumbu zote kwenye simu yake hata kama namba yake ipo kichwani
  3. B

    Mbowe apumzishwe kwa lazima, imetosha. Chama apewe mtu mwingine

    Tegemea kupata comments zaidi ya 300 ndani ya wiki kwa topic uliyanzisha ukipigwa na vitu vizito
  4. B

    Nimemtia mimba mdogo wake na mpenzi wangu

    Je unaweza kuthibitisha kuwa kweli shetani aliwapitia?, maana unatengeneza kosa lingine la kumsingizia shetani wakati hukuwa maeneo hayo kabisa siku hiyo. Kuhusu mimba nenda au aende duka la dawa akanunue kipimo cha kupimia mimba kisha apime. Huuzwa bei cheee kabisa ya kishetani
  5. B

    Mzazi mwenzangu hahudumii mtoto; nataka nimpeleke mahakamani

    Ilibidi wakati mnaachana mambo matatu kama mliachana mahakamani kwa kupewa talaka. 1/ talaka 2/ mgawanyo wa mali 3/ matunzo ya watoto kama wapo. Kwa ushauri wa hitaji lako nenda ofisi ya kata kwa afisa maendeleo ya jamii kuhusu lalamiko lako. Ikishirikiana hapo kupata suluhu ndipo utaenda...
  6. B

    Ni aibu Graduates kukosa Laptop

    😂😂 harafu anasema miaka yote mnayokuwa chuo mnashindwa kuwa na laptop hawa ndio wale wanaopata mkopo na bado wanawadanganya wazazi wao hawapati mkopo wanapewa hela bado na wazazi wao
  7. B

    Ni aibu Graduates kukosa Laptop

    Naona watoto wa vigogo mmeshaanza fujo sasa. Kutokuwa na laptop kwa hao unaosema ni jambo la kawaida sana na ndio sababu inayowatofautisha hao unaowasema na nyie. Kuwa na simu ya 300,000 ni kuwa atapata mawasiliano kwa kupiga, kupokea na kutuma sms na ataingia kwenye kuperuzi inapotokea kutuma...
  8. B

    Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Wazee wa zamani wana usemi wao wa KITANDA HAKIZAI HARAMU. Husemi huu huficha mengi na hutunza mambo mengi hata kama ukweli huujua. Hainamaana ya kuwa kwakuwa mmezaa hamuwezi kuachana lkn kwa afya ya malezi na ndoa kama mkeo unaona ana nidhamu na mnaendana fanya kama bahati mbaya tu maisha...
  9. B

    Furaha ya Albert Chalamila baada ya kuteuliwa Mkuu wa Mkoa Tabora

    Tuungane kumpongeza malipo ni shilingi ngapi maana nchi ngumu hii? tukubaliane kabisa au alivyoenguliwa ulikaa kimya.... kateuliwa sasa umejidai kutuma post ili kuonesha UNIKUMBUKE MHESHIMIWA???
  10. B

    Mtu ambaye simu yake always haina mlio ina-vibrate tu anamaanisha nini?

    Anamaanisha utunzaji wa mazingira kuepuka uharibifu wa mazingira wa kelele. Kwani wewe ulimpigia simu huyo mtu wakati mpo nae hapo hapo au ulimpigia ukiwa mbali ukasikia vibration tu hukusikia mlio?
  11. B

    Kwa hili nililolifanya kwenye mwenge nini kinaweza kunipata?

    Hilo dili ulilipata kimchongo , kuna muda itabidi uende sawa hata kama faida itakuwa ndogo sana ila inaongeza cv ya kutafuta dili kubwa. Tafuta tu risiti kwakuwa umeshawaoneshea kutokwenda nao pamoja hawawezi kukupa dili lingine ila kwa sasa wataonesha ulipewa zabuni hukutoa risiti. Kuna mambo...
  12. B

    Plot4Sale Jipatie Plots za Bei Nafuu Kutoka Trust Solution Ltd

    Swali zuri sana hili hata mimi nilikuwa ninawaza iwapo miezi mitatu ukakwama kuchangia inakuwaje? hairudi au ikirudi unakatwa asilimia kadhaa??
  13. B

    Chagueni wasio na ajira kwenye kazi za sensa

    Ingekuwa hivyo watumishi wa umma bado hawataweza ili kazi isiharibike wangewachukua wanafunzi wa vyuo wa mwaka wa tatu nadhani ingekuwa ndio vizuri sana
  14. B

    Hatimaye Halima Mdee na Wenzake wafungua kesi ya Kupinga kuvuliwa uanachama Mahakama Kuu

    Hii kesi wataihangaikia hangaikia hadi ifike mwishoni tu wa mwisho wa mwaka 2024 basi wakishindwa watatafuta namna kupitia chama kingine wakishinda hawatarudi kugombea kupitia chama cha Chadema. Mkate wa bwana nitaupigania kwa nguvu zangu zote. Amini.....
  15. B

    Kundi Hili la Watumishi wa Umma lina Upeo Mdogo? Nini kifanyike?

    Mwalimu wako aliekufundisha hadi hapo ulipofikia najua tu huwezi kusema mbele yake ndiyo maana umetaja kiuwoga woga, pili hukusema kwanini ni janga umetaja taja tu kada bila kutoa sababu ni zipi ili ionekane ni janga.
Back
Top Bottom