Nimemtia mimba mdogo wake na mpenzi wangu

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Nina mpenzi wangu ambaye tumepanga kuoana apo badaye najulikana kwao na yeye anajulikana kwetu. Sasa huyu mpenzi wangu ana mdogo wake ambaye tulikuwa tunazoeana saana, na yeye ndo mtu ambaye nina ukaribu naye saana kuliko dada yake.

Sasa kwa bahati mbaya shetani alitupitia. Tukafanya vya kufanya. Madhara yake ndo haya ambayo yametokea
toka last week, mtoto wakike aliniambia haoni siku zake, na kwa bahati mbaya mwezi umeisha.

Nataka niulize

Kuna miezi ambayo wanawake wanapitaga tu bila kwenda kwenye siku zao? Maana nahisi kuchanganikiwa kinoma sijui nitaweka wapi sura yangu mimi!
 
Kumbe ni ndogo namna hyo. Wenzetu walipitisha utoaji mimba zisizotakiwa au kama vipi achana na dada mtu huyo dogo
 
Ila wanaume aise..Ndio maana wanawake wengine wanaamua kuwa zao lesbians.

Anyway, kuna scenario kama hizo wanawake kuchelewa kuona siku zao..But kuliko kuendelea kusubiri hizo siki kwanini msipime mimba kwanza mjue mbivu na mbichi..

Issue kama yako ilimtokea my uncle..So akaamua kumuoa mdgo mtu aliyemtia mimba ila dadake aliumia sana.
 
Apo kabla ya kuendelea kwanza mtoe shetani mana ausiki au kama anauhisika nipe jibu shetani aliwapitia mkaenda nae wapi na anafananaje
 
Ila wanaume aise..Ndio maana wanawake wengine wanaamua kuwa zao lesbians.

Anyway, kuna scenario kama hizo wanawake kuchelewa kuona siku zao..But kuliko kuendelea kusubiri hizo siki kwanini msipime mimba kwanza mjue mbivu na mbichi..

Issue kama yako ilimtokea my uncle..So akaamua kumuoa mdgo mtu aliyemtia mimba ila dadake aliumia sana.
Uncle wako mtu mbade sana yani, kaopoa mdogo mtu kamtosa dadaake. Hii imekaaje kitaalamu? Je, ingalikuwa wewe ndiye dada uhusiano na mdogo wako ungekuaje?
 
Nina mpenzi wangu ambaye tumepanga kuoana apo badaye najulikana kwao na yeye anajulikana kwetu. Sasa huyu mpenzi wangu ana mdogo wake ambaye tulikuwa tunazoeana saana, na yeye ndo mtu ambaye nina ukaribu naye saana kuliko dada yake.

Sasa kwa bahati mbaya shetani alitupitia. Tukafanya vya kufanya. Madhara yake ndo haya ambayo yametokea
toka last week, mtoto wakike aliniambia haoni siku zake, na kwa bahati mbaya mwezi umeisha.

Nataka niulize

Kuna miezi ambayo wanawake wanapitaga tu bila kwenda kwenye siku zao? Maana nahisi kuchanganikiwa kinoma sijui nitaweka wapi sura yangu mimi!
jina lako linasadifu ulichokiandika
kwaio UMEKWISHA WEWE
 
Je unaweza kuthibitisha kuwa kweli shetani aliwapitia?, maana unatengeneza kosa lingine la kumsingizia shetani wakati hukuwa maeneo hayo kabisa siku hiyo. Kuhusu mimba nenda au aende duka la dawa akanunue kipimo cha kupimia mimba kisha apime. Huuzwa bei cheee kabisa ya kishetani
 
Kwa hiyo shetani aliwapitia muende wapi?
Acheni kumshirikisha shetani kwenye vitu vya kijinga.

Nenda pharmacy ununue UPT apime ili usipige ramli
 
Ila wanaume aise..Ndio maana wanawake wengine wanaamua kuwa zao lesbians.

Anyway, kuna scenario kama hizo wanawake kuchelewa kuona siku zao..But kuliko kuendelea kusubiri hizo siki kwanini msipime mimba kwanza mjue mbivu na mbichi..

Issue kama yako ilimtokea my uncle..So akaamua kumuoa mdgo mtu aliyemtia mimba ila dadake aliumia sana.
"Ila wanaume aisee.."

Huoni hapo kuna na mwanamke pia? Mdogo mtu kamsaliti dadaake...
 
Ila wanaume aise..Ndio maana wanawake wengine wanaamua kuwa zao lesbians.

Anyway, kuna scenario kama hizo wanawake kuchelewa kuona siku zao..But kuliko kuendelea kusubiri hizo siki kwanini msipime mimba kwanza mjue mbivu na mbichi..

Issue kama yako ilimtokea my uncle..So akaamua kumuoa mdgo mtu aliyemtia mimba ila dadake aliumia sana.
Undugu uliendelea kweli?
 
Umecheza ns team B kuifunga kirahisi hivyo ni kawaida.
Kapimeni kwanza halfu uje tukupe mbinu.

A.Dogo akatoe mbunye kimpango kwa mtu kiherehere apewe mwana, hii njia utaongeza dhambi na utaumia miaka yote

B.Muoe huyo dogo, kubali kusema

C.Muitoe.

4.Sema ukweli dogo azae, ulee mwana na ukose wote.

Ukichimama nchale, ukikimbia nchale

Pole sana kaka.
 
Hizo ni concequences za zinaa,usipotubu na kuamua kuiacha lazima ikuvuruge...
 
Back
Top Bottom