Mbowe apumzishwe kwa lazima, imetosha. Chama apewe mtu mwingine

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,173
27,223
Mimi sio mfuasi wala mwanachama wa CHADEMA, Ila kwenye Kushauri nitamshauri. Mkichukua ushauri wangu sawa, mkiukataa sawa pia.

Mbowe amekua mwenyekiti kwa miaka zaidi ya 20. Kwa maana kabla hajawa mwenyekiti alikuwa tayari na maamuzi kuliko mwenyekiti sababu ya undugu alionao kwa muanzilishi wa chama.

Kwa wale msiojua hiki chama ni cha kifamilia japokua wazamiaji wapo na ndio hao wenye kelele Sana. Turudi kwenye point.

Mbowe ameshakaa sana madarakani, na Kama kula ameshakula sana. Hivyo nashauri chama apewe mwingine. muda ni sasa, Hakuna tena kusubiri. Awe lema, awe heche, awe Msigwa wote sawa tu ilimradi mbowe aondoke.

Katika wote hao nashauri Msigwa apewe, ana uthubutu, umakini na busara kuliko wengine. Msigwa ataifikisha mbali CHADEMA
 
Mimi sio mfuasi wala mwanachama wa chadema, Ila kwenye Kushauri nitamshauri. Mkichukua ushauri wangu sawa, mkiukataa sawa pia.

Mbowe amekua mwenyekiti kwa miaka zaidi ya 20. Kwa maana kabla hajawa mwenyekiti alikuwa tayari na maamuzi kuliko mwenyekiti sababu ya undugu alionao kwa muanzilishi wa chama.

Kwa wale msiojua hiki chama ni cha kifamilia japokua wazamiaji wapo na ndio hao wenye kelele Sana. Turudi kwenye point.....

Mbowe ameshakaa sana madarakani, na Kama kula ameshakula sana. Hivyo nashauri chama apewe mwingine. muda ni sasa, Hakuna tena kusubiri. Awe lema, awe heche, awe Msigwa wote sawa tu ilimradi mbowe aondoke.

Katika wote hao nashauri Msigwa apewe, ana uthubutu, umakini na busara kuliko wengine. Msigwa ataifikisha mbali chadema
Mtu mwingine wa bei rahisi, nampendekeza Joshua Nasari.
 
Kaanza kuwakera upyaaaaaaa sasa Mbowe. Na hapo bado mikutano haijaruhusiwa wanafanya kwa kuiba iba tu. Je wakiruhusiwa wakaingia mtaa kwa mtaa?

Wewe sio mwana chadema kama unavyosema, unapata wapi ujasiri wa kuwatafutia Chadema mwenyekiti unaemuona wewe anafaa huyo Msigwa na kuwataka wamtoe Mbowe wanaemuona wao anafaa? Yaani utoke tu huko uwapangie wanachadema mwenyekiti ilhali wewe sio hata mwanachama na tena bila kuombwa!

Tukutie katika kundi gani mkuu? Tukupe jina gani linalokustahili?
 
Wanaomsema Chadema ni chama cha kifamilia wanapotosha sana

Chadema iliasisiwa kwa ubia Sawa na
1. Mzee Mtei
2. Mzee Makani
3. Mzee Ngaiza
4. Mzee Tuntemeke Sanga
5. Mzee Ndesamburo
6. Mzee Shanga

Mtei na Bob Makani wanatajwa sana kwa sababu walitokea kwenye utumishi wa Umma pale Benki Kuu
Ndugu zako wa spends kupalamia hata wasichojua ili mradi buku saba ipatikane. Sawa sawa na walioko huko juu, wanavyofanya ni ili mradi matumbo Yao yajae, basi I!!! Ona bei za vitu zilivyoparama. Wakishauriwa kumzuia mauzo nje ya TZ, hawakuelewi hata kidogo. Kila kitu kila pahara ni vurugu mechi.
 
Mimi sio mfuasi wala mwanachama wa CHADEMA, Ila kwenye Kushauri nitamshauri. Mkichukua ushauri wangu sawa, mkiukataa sawa pia.

Mbowe amekua mwenyekiti kwa miaka zaidi ya 20. Kwa maana kabla hajawa mwenyekiti alikuwa tayari na maamuzi kuliko mwenyekiti sababu ya undugu alionao kwa muanzilishi wa chama.

Kwa wale msiojua hiki chama ni cha kifamilia japokua wazamiaji wapo na ndio hao wenye kelele Sana. Turudi kwenye point.

Mbowe ameshakaa sana madarakani, na Kama kula ameshakula sana. Hivyo nashauri chama apewe mwingine. muda ni sasa, Hakuna tena kusubiri. Awe lema, awe heche, awe Msigwa wote sawa tu ilimradi mbowe aondoke.

Katika wote hao nashauri Msigwa apewe, ana uthubutu, umakini na busara kuliko wengine. Msigwa ataifikisha mbali CHADEMA
Kwa nini mwenyekiti wa CHADEMA asiwe Samia kabisa eeh mwanaccm
 
WENYE CHAMA WANAMTAKA MASHOGA MNAPIGA KELELE MBOWE HAONDOKI NG'OOO
 
Wenye chama hatutaki..kaanzishe cha kwako!
 
Kaanza kuwakera upyaaaaaaa sasa Mbowe. Na hapo bado mikutano haijaruhusiwa wanafanya kwa kuiba iba tu. Je wakiruhusiwa wakaingia mtaa kwa mtaa?

Wewe sio mwana chadema kama unavyosema, unapata wapi ujasiri wa kuwatafutia Chadema mwenyekiti unaemuona wewe anafaa huyo Msigwa na kuwataka wamtoe Mbowe wanaemuona wao anafaa? Yaani utoke tu huko uwapangie wanachadema mwenyekiti ilhali wewe sio hata mwanachama na tena bila kuombwa!

Tukitie katika kundi gani mkuu? Tukupe jina gani linalokustahili?
Anachagua mpini mdogo🤣🤣🤣🤣
Mpini wa Mbowe umemchosha
 
Mimi sio mfuasi wala mwanachama wa CHADEMA, Ila kwenye Kushauri nitamshauri. Mkichukua ushauri wangu sawa, mkiukataa sawa pia.

Mbowe amekua mwenyekiti kwa miaka zaidi ya 20. Kwa maana kabla hajawa mwenyekiti alikuwa tayari na maamuzi kuliko mwenyekiti sababu ya undugu alionao kwa muanzilishi wa chama.

Kwa wale msiojua hiki chama ni cha kifamilia japokua wazamiaji wapo na ndio hao wenye kelele Sana. Turudi kwenye point.

Mbowe ameshakaa sana madarakani, na Kama kula ameshakula sana. Hivyo nashauri chama apewe mwingine. muda ni sasa, Hakuna tena kusubiri. Awe lema, awe heche, awe Msigwa wote sawa tu ilimradi mbowe aondoke.

Katika wote hao nashauri Msigwa apewe, ana uthubutu, umakini na busara kuliko wengine. Msigwa ataifikisha mbali CHADEMA
Kisarawe hoyeee....naona kimyaa.....unafikiri Uongozi ni mchezo?..
We subiri mkeka tu mambo ya Freeman na chadema yake muachie mwenyewe sawa chawa.
 
Kaanza kuwakera upyaaaaaaa sasa Mbowe. Na hapo bado mikutano haijaruhusiwa wanafanya kwa kuiba iba tu. Je wakiruhusiwa wakaingia mtaa kwa mtaa?

Wewe sio mwana chadema kama unavyosema, unapata wapi ujasiri wa kuwatafutia Chadema mwenyekiti unaemuona wewe anafaa huyo Msigwa na kuwataka wamtoe Mbowe wanaemuona wao anafaa? Yaani utoke tu huko uwapangie wanachadema mwenyekiti ilhali wewe sio hata mwanachama na tena bila kuombwa!

Tukutie katika kundi gani mkuu? Tukupe jina gani linalokustahili?
Hamuoni aibu kuwa na mfalme ndani ya chama?
 
Back
Top Bottom