themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,065
- 3,844
Hivi mtu kuwa na simu alafu always simu yake imesetiwa kwenye vibration yani haitoi mlio anamaanisha kitu gani, usalama upo kweli or ni uhuni?
mhKwani wewe unataka kelele za nini ......binafsi huwa sipendi mlio kwenye simu naona kama inanikera
duhBora waweke vibration tu, maana kuna simu nyingine ina milio ya hatari. Unakuta simu inamulio Kama vyombo vimedondoshwa hiyo siku kidogo nikwepe kumbe ni sms imeingia kwa mshikaji.
ohooAnamaanisha utunzaji wa mazingira kuepuka uharibifu wa mazingira wa kelele. Kwani wewe ulimpigia simu huyo mtu wakati mpo nae hapo hapo au ulimpigia ukiwa mbali ukasikia vibration tu hukusikia mlio?
Kuna umri fulani (Level za Utafutaji) ukifika hata wewe utaachana na kuweka milio ya Simu.....Hivi mtu kuwa na simu alafu always simu yake imesetiwa kwenye vibration yani haitoi mlio anamaanisha kitu gani, usalama upo kweli or ni uhuni