Recent content by bahatim

  1. bahatim

    JamiiForums Tanzania Reseach proposal Dissertation, data analysis special thread

    Asante nimekuelewa vizuri Sent using Jamii Forums mobile app
  2. bahatim

    JamiiForums Tanzania Reseach proposal Dissertation, data analysis special thread

    Napenda kufahamu jinsi gani ya kudevelop statement of the problems Sent using Jamii Forums mobile app
  3. bahatim

    JamiiForums Tanzania Reseach proposal Dissertation, data analysis special thread

    Vitu gani vya kuzingatia katika kudevelop statement of the problems? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. bahatim

    JamiiForums Tanzania Watumishi waliosoma vyuo vikuu bila sifa kufukuzwa kazi

    P
  5. bahatim

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili uhamiaji-koplo & kontebo

    maboya hao watakuwa wana dengeua inawasumbua
  6. bahatim

    JamiiForums Tanzania Post za Ualimu toka Wizara ya Elimu

    kweli waziri kawambwa katoka kuongea sasa hv kuripot mwisho tarehe 9 mwez wa 3
  7. bahatim

    JamiiForums Tanzania Je, chuo ulichosoma kimeshika nafasi ya ngapi Afrika?

    Kuna mambo mengine ni ya kijinga kabisa wewe chuo kushika namba moja au mbili inakusaidia nini?badala ya kuwaza utakabiriana vp na soko la ajira wewe unawaza eti chuo changu bora kushinda kingine bado mnasoma hamjui kitaa kukoje endeleeni kudanganyana mtakuja kuona mwisho wake kula ugali na...
  8. bahatim

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa walimu wapya lini? Wanaosubiri ajira.

    wewe umesikia na nani?kama kutakuwa na mgomo au unasoma massage za kutunga!wallimu watu safi hatuwez kugoma kwa sababu ya kizembe post lazima zitatoka 2 kila mwalimu atapata nafasi achana na kusikiliza hizo sms wanazotunga kuchafua walimu
  9. bahatim

    JamiiForums Tanzania Serikali Makini na Ajira za Walimu

    watu wengine mabwege sasa hueshimiane na nani na kikwete au na kazi yako ya kuuza dawa za mende
  10. bahatim

    JamiiForums Tanzania Waalimu wanasabisha wenyewe wadharauliwe!!

    tatizo huyu jamaa ana dharau mm na wasiwasi na elimu yake mwenye akili hawezi kupongea ujinga kama huo umeanza vzr baadae unaanza kutufananisha na mshahara wa polisi toa kauli nzuri zenye mashiko wewe mwenyewe huna kazi halafu unaleta nyodo elimika acha ubwege
  11. bahatim

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Shule ya Msingi aliepata Div IV ya Pts 28 kidato cha nne anaandaa msomi gani hapo baadae?

    nashangaa watu wamesahau walipotoka tokea walipokuwa na makamasi wamefundishwa na huyo mwalimu halaf sasa hv kajua kuvaa suti analeta nyodo acheni dharau hao ndio wametufisha hapa mpaka tunajua kusoma comment hayo sio mambo ya kuongelea hasa wasomi weenye akili timamu kichwani.
  12. bahatim

    JamiiForums Tanzania Sekenke jamani barabara mbovu

    Kwa kweli nashangaa kuona barabara muhimu hasa kipande cha mlima sekenke singida barabara imechimbika inaonekana Tanroad singida hawakagui kipande hicho magufuli tembelea huone jinsi gani wakandarasi walivyojenga barabara haina viwango hasa pale mlima sekenke
  13. bahatim

    JamiiForums Tanzania Tanroad singida

    HIVI TANROAD SINGIDA HAMUONI BARABARA MLIMA SENKEKE ILIVYOKUWA MBAYA MASHIMO YAMEJAA BARABARA PALE HAKUNA VIWANGO MAGARI YANAKWAMA KILA SIKU MAGUFULI TEMBELEA HUONE HAO WAKANDARASI WALIVYOJENGA BARABARA KWA KIWANGO CHA CHINI.:decision:
  14. bahatim

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    hongera chadema sauti ya wengi saut ya mungu joshua nasari mungu akupe uwezo wa kufanya kazi kwa umakini ili kufanokisha maendeleo ya arumeru mashariki na taiga kwa ujumla mungu ibariki Tanzania.
Back
Top Bottom