Kitimbwisi
Senior Member
- Feb 5, 2013
- 155
- 72
Hv wale walimu waliodai kuwa wataandamana kwa niaba ya wanaosubiri ajira wote tanzania, vp? Mbona cpat updates!
wewe umesikia na nani?kama kutakuwa na mgomo au unasoma massage za kutunga!wallimu watu safi hatuwez kugoma kwa sababu ya kizembe post lazima zitatoka 2 kila mwalimu atapata nafasi achana na kusikiliza hizo sms wanazotunga kuchafua walimu