Sekenke jamani barabara mbovu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sekenke jamani barabara mbovu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bahatim, Aug 8, 2012.

 1. bahatim

  bahatim Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Kwa kweli nashangaa kuona barabara muhimu hasa kipande cha mlima sekenke singida barabara imechimbika inaonekana Tanroad singida hawakagui kipande hicho magufuli tembelea huone jinsi gani wakandarasi walivyojenga barabara haina viwango hasa pale mlima sekenke
   
 2. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mlima kama ule ninavyoufahamu kiwango cha utengenezaji wa barabara ni ovyo kwa vile haijatengenezwa kwa kiwango kinachotakiwa hasa kuendana na magari yenye kubeba uzito mkubwa yanayopita huko. Magari makubwa yanapopanda mlima au kuteremka kwa mwendo pole huharibu zaidi barabara na kumbuka break nazo huumiza barabara kwani uzito wote unaelemea barabara kuliko bari linapokuwa na mwendo kasi
   
 3. B

  BARRY JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Hawa jamaa wa TANROADS bure kabisa, hayo mahandaki ya sekense sijui wanasubiri nini kufukia. Halfu wakikaa hapo bungeni wanadanganya sana wananchi. Kwamfano kile kipande cha Mohoro hadi Somanga miaka nenda miaka rudi hakimaliziki.............bure kabisa!
   
 4. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,840
  Trophy Points: 280
  magufuli yuko busy na barabara za DAR...mikoani mtakufa mwaka huu sahauni
   
Loading...