hii ngomaa irudiwe this time wamdunge na nyongo ya mamba. tuone kama utatunda. nimeamini hapa dunian kuna Watu wana Roho mbaya sana hadi kufa inakuwa taabu. Afu watu kama hawa ndio wanasababisha Mwenyezi atume Eli-Nino kuwapunguza kwa kuwadondoshea kuta bahati mbaya na watu wema wanaenda.
Mimi kuanzia leo wadada wote wenye Pua msambao kama Nice B sitaki mazoea.
Alafu wabongo tuache unafiki hii pua asili yake inajulikana inapotoka, humu jukwaani kila siku Mnazonga sana mabinti wa Kichaga lakini mabinti zenu wa huko mwisho wa reli, Aaanka mnajikausha.
Umasikini ni mnyororo mrefu uliofunga Koo na vizazi vya watu, Nakuombea dua msomaji uwe shujaa wa kuvunja pingiri za mnyororo wa Umasikini.
Umasikini ni kama maradhi yaliyo enea kwenye Taifa fulani, nakuombea uwe Kiongozi mahiri ulitibu Taifa lako.
Watu wengi wanadai nguvu za Mamba zipo kwenye maji, utasikia kwenye maji huwezi kumshinda mamba.
hata hivyo huyu Mamba sithani kama kweli itakuwa hivyo akiingia majini. Nimeona kwenye shoo yake kaimba huku kakaa, nikaja kuona clip yake moja uwanja wa taifa anatembea kwa taabu sana. Akisimama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.