Umejua dhumuni lako la kuwepo?

Umejua dhumuni lako la kuwepo?

Kwetu sisi maisha hayana kusudi, kusudi linatoka ndani yako.

Binafsi naona kama kutafuta kusudi ni kujibana kwenye eneo moja. Wewe fanya tu kinachoitikia ndani. Na pia usichanganye kusudi na riziki.
Kwanini una relate kusudi na riziki?

Ukiishi namna hiyo unakuwa kama mnyama sasa. Inakuwa hakuna faida ya kuwa na intellect ya kujua nini unataka.
 
Sababu ni nyingi kwakweli:
1) Nisingekuwapo yule mtu alikuwa analizwa siku ile!
2) Nisingepita na gari yangu muda ule mitaa ile saa zile nani angemuwahisha yule jamaa mahututi hospitali? ANGEKUFA!
.
.

KWAKWELI NI MUNGU TU ANAJUA ANACHOFANYA!
 
Hakika umenena
Binadamu hawezi kujua kiini cha uwepo wake ila aliyemuumba pekee si ndio.

Maana mwisho wa siku ndio yeye pekee anaye tuchukua tena
 
Ukitaka kujua thumuni lako soma hii nukuu ya Albert Einstein "Elimu ni kusahau yote uliyolishwa darasani, dini na wazazi wako na kuanza upya" Hapo ndipo utaanza kujua dhumuni la kuwepo hapa duniani
 
Kuna siku nili fanya meditation nikaanza kuhishi mwili uko soo light.. Nilijiona nimerudi katika ile pure essence ya kama mtoto mdogo..

Na hapo ndipo Nilijua kuwa mimi ni nani na nimekuja duniani kufanya nini...

Haikuwa sentensi au mawazo ilikuwa hali...

Hali ya uwepo ambao hauelezeki...
 
Unaweza kufafanua kidogo mkuu ili nami nijue kama nipo kwenye right way
 
We live in the same existence but share different realities

Wewe ulijuaje dhumuni lako la kuwepo hapa duniani?

Tukachana na dhana za nature eti kuzaliwa, kuzaliana na kufa.. Kuna kitu ndani yako kinacho kufanya uamke kila siku uka hustle ni kina msukimo wa nini haswa?

Na uligunduaje ya kuwa hicho ndo kitu pekee kinacho kufanya ufanye unalo fanya.

Tupac shakur alisha wahi kusema,
"I may not change the world, but I may spark the minds that will do"

Anyways blue Monday hiyoo, wale wa kwenda kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight tuamke.
Dhumuni haliji kwa kila mtu kama radi inayopiga siku moja. Mara nyingi hulijenga kupitia maamuzi unayofanya kila siku, changamoto unazopitia, na athari unazoacha kwa wengine. Kinachoniamsha kila siku si kwamba najua kila kitu, bali ni imani kwamba kuna hatua moja ya leo inaweza kubadili kesho yangu au ya mtu mwingine.

Kama alivyosema Tupac Shakur, "I may not change the world, but I may spark the minds that will do." Si lazima kila mtu abadili dunia; wakati mwingine inatosha kubadili maisha ya mtu mmoja, na huyo akabadilisha wengine. Hapo ndipo dhumuni huanza kupata maana.
Hustle siyo tu kutafuta hela, ni kutafuta sababu ya kulala ukiwa unajivunia kwamba leo hukupoteza siku bure.
 
Unaweza kufafanua kidogo mkuu ili nami nijue kama nipo kwenye right way
Unavyofanya meditation una nyamazisha kelele za nje, yaani mwili unaacha mechanisms za kureact... Mawazo yanapungua, emotional body nayo inapungua

Kinacho baki ni ile essence yako, ambayo ulikuja nayo ukiwa kichanga, na utaondoka nayo uzeeni...

Ukikaa nayo bila kujiuliza ni nini haswa, hapo ndo unaweza ku unlock powers zako na kujua dhumuni lako. Utajua tu... Kama wewe unataka nini... I naweza kuwa kitu chochote ila utakifanya kwa upekee
 
Dhumuni haliji kwa kila mtu kama radi inayopiga siku moja. Mara nyingi hulijenga kupitia maamuzi unayofanya kila siku, changamoto unazopitia, na athari unazoacha kwa wengine. Kinachoniamsha kila siku si kwamba najua kila kitu, bali ni imani kwamba kuna hatua moja ya leo inaweza kubadili kesho yangu au ya mtu mwingine.

Kama alivyosema Tupac Shakur, "I may not change the world, but I may spark the minds that will do." Si lazima kila mtu abadili dunia; wakati mwingine inatosha kubadili maisha ya mtu mmoja, na huyo akabadilisha wengine. Hapo ndipo dhumuni huanza kupata maana.
Hustle siyo tu kutafuta hela, ni kutafuta sababu ya kulala ukiwa unajivunia kwamba leo hukupoteza siku bure.
Exactly,
Na mara nyingi dhumuni si kwa ajili yako binafsi bali ni kwajili ya Dunia..

Kwa jili ya mother nature..

Pesa, na yote hayo huja as a result... Na pesa hukosa maana kama umekuja without a purpose...

It's not about money, na wengi wajuao dhumuni Lao husema kabisa they're doing it for passion.
 
Kabisa. Dhumuni likiwa la kweli huwa linazidi maslahi binafsi. Mara nyingi pesa ni matokeo ya thamani unayozalisha, si sababu ya kuanza. Ndio maana watu wengi wanaofanya jambo kwa passion hudumu hata wakati hakuna faida ya haraka, kwa sababu wanasukumwa na maana ya kile wanachofanya, si malipo pekee.

Mwisho wa siku, swali si "nitapata kiasi gani?" bali "nitaacha athari gani?" Ukijibu hilo kwa uaminifu, pesa ikija ni nyongeza; isipokuja mapema, bado una sababu ya kuamka kila siku.
 
Hakika mkuu
 
Mkuu eleven ni watu wachache sana wanapata bahati ya kujua nini dhumuni lao hapa duniani, wengi wetu tunabaki kama wasindikizaji tuu.
kutoka kwa mwana pyschologist Maslow aliweka bayana madaraja ya matamanio ya mwanadamu. hilo tamanio la kujua dhumuni lako ni la mwisho kabisa baada ya kufanikiwa madaraja yafuatayo:-

kutafuta mahitaji muhimu - chakula, malazi, mavazi ,

kutafuta ulinzi na usalama- kwa maisha yako au mali zako zipo

kutafuta familia, mahusiano, kupendwa, kujumuika na uwanajamii

kutafuta mafanikio

na mwisho baada ya kupata vyote hivyo apo mtu ndo anaanza kutafuta au kutekeleza dhumuni lake hapa duniani, mfano mzee Mengi aliona dhumuni lake kusaidia watanganyika waliokuwa katika hali ngumu, Bill Gates alianzisha foundation yake ya kutatua njaa na magonjwa, na sasa Aliko Dangote amepata dhumuni lake kama kuikomhoa Afrika kiuchumi, kiifanya kujitegemea hilo ndio dhumuni lake.

sithani kama itakuwa ni jambo la busara kuanza kuangaika na dhumuni lako wakati kuna baadhi ya madaraja mambo hayapo sawa.
 
Sidhani hiyo ndio maana mama ya dhumuni

Unataka kuniambia wakina Albert Einstein walisubiri wakavuka madaraja yote yale kufikia walipofikia

Wakina Gandhi je?

Dhumuni halipimwi kwa kile ulicho nacho

Dhumuni ni kile ulicho nacho ambacho pesa haiwezi kununua...

Hao wanatumia pesa kusaidia jamii, na hilo nalo kinaweza kuwa dhumuni ila ukisha weka pesa mbele linabaki kuwa kama msaada tu

Survival ni jukumu la kila kiumbe, ila dhumuni lina transcendence ya both survival na kifo
 
nimekuelewaa upo sawa mfano kama mama Theresa na wapigania haki,
 
Back
Top Bottom