Recent content by Bahati yangu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wale Dada zangu piten hapa......

    Ha ha ha ha ha haaa Balance Sheet haina Jurisprudence,haya ngoja nijipe muda.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mawazo yananiua!

    Pole lakini koma!!!!!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Je yupo mwanaume mwaminifu?

    Bado sijamsaliti
  4. B

    JamiiForums Tanzania Je yupo mwanaume mwaminifu?

    kwahiyo kabla ya hiyo miaka nane ulishazini,uaminifu uko wapi hapo
  5. B

    JamiiForums Tanzania Je yupo mwanaume mwaminifu?

    Je yupo mwanaume ambaye hajawahi kumsaliti mpenzi/mkewe,nikianzia hapa jamvini maana kila mahali vilio vya wanawake vimekuwa vingi,japo usaliti huo wanawake wanashiriki maana wanaume hawaufanyi peke yao.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hii raha au karaha?

    Ni mtikisiko wa moyo na mwili
  7. B

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje kwenye hili?

    Inapotokea umemfumania mume/mpenzi/ usimsemeshe wala kumuuliza lolote kuhusu jambo alilofanya.Je huko ni kumsaidia ajirekebishe?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ujumbe mzito kwa wapenzi wenye wivu

    Duuh!wajimegee tu sasa.
  9. B

    JamiiForums Tanzania MENEJA WA MeTL IRINGA AKWAPUA MAMILIONI… Matunda ya kutokuwa na Uzalendo???

    Jamani poleni kwa upotevu huo wa mamilioni ya shilingi lakini mngeajiri wazawa na kuwaboreshea mazingira ya kufanya kazi haya yasingewakuta.muache ubaguzi
  10. B

    JamiiForums Tanzania Urgent for ladies only

    Mmmh,nafasi ya kukuhudumia,napita tu!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Jamani wanaume

    Dhamira ya usaliti hata uwe na PHD ya kitandani ataiba tu,Mungu atupe nguvu wanawake
  12. B

    JamiiForums Tanzania Jamani wanaume

    Hivi ni lini mtaapreciate hata kwa kiasi kidogo mnayofanyiwa,na kufanya jambo moja tu Upendo maana upendo wa kweli hauna usaliti ndani yake,na siyo kutoa visingizio kuwa umesahaulika.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Jamani wanaume

    Umeona eee!yaani ni nyie tu mna hisia kupita viumbe vyote maana,hata kuheshimu utu wa mtu kwenu halipo achilia mbali utu wenu
  14. B

    JamiiForums Tanzania Jamani wanaume

    Dada mmoja amemfumania mume wake akifanya mapenzi na mtoto wa kaka yake(kaka wa mke),mke amechanganyikiwa,akaenda kuomba ushauri,akaambiwa ajitahidi atatue hilo tatizo maana,huku kwenye jamii tayari kumejaa matatizo lukuki akiruhusu na hilo la mume wake kuja huku,hana mchango wa kujenga jamii...
Back
Top Bottom