julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Jamani ndugu zangu wana jamvi mbona tunakuwa kama wanywa gongo na viloba vya konyagi! mtu anaomba ushauri kejeli, masihala kibao lini mtu ataomba ushauri ukampa? sio kila anayekuja katunga au anajifurahisha mpeni ushauri kama huna better ukae kimya!
back to topic:
1. Kama amefunga ndoa ya kidini amfuate mkuu wao wa kiimani anaweza kumsaidia kulingana na imani yake
2. Kama amefunga ndoa ya bomani atafute watu ambao mme wake anawaheshimu wawakutanishe na mme wake kwa ushauri ili siku nyingine hata kama anafanya ajiandae kwa kukabiriana na aibu.
3.kama hawajafunga ndoa/hawana ndoa basi aite watu wa pande zote mbili kwao mme na kwao mke wanao waheshimu ila wazazi wa huyo binti aliyemega kitumbua chake ni muhimu wawepo ili wawaonye na kuwashauri hao waovu wataogopa next time!
4. Afanye yote hayo kama anamhitaji mme mwenyewe kama hamhitaji ndio sehemu ya kuchoropokea namaanisha kama anaona mme mwenyewe hua hana umhimu naye ampige chini.
5. kama yeye ndio anamhitaji mme kuliko mme anavyo mhitaji basi wazungumze wao kama wao amsamehe maana ni hitaji lake akilikosa ataumia zaidi! hapo haijalishi walifungandoa au la wala haijalishi wana dini au la!