Recent content by Bagram Army

  1. B

    JamiiForums Tanzania State this is just a pretext - Tell us the agenda!

    Sometimes you don't need somebody to tell you everything under the carpet and here there are lots of possibilities hidden everybody can mention his/her own. Islamic states? Political reasons? or may it's because of the persons responsible for the matter have been afraid ing of who?? Or may be...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya IPP media!

    Mkuu ungetupia na mfano mmoja wa habari toka IPP media.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Nasari Anajuta...

    Nawe ni GREAT THINKER? Ha ha ha haaaaaaa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amuige Mnyika kujibu tuhuma za Mtela Mwampamba dhidi yake

    We nawe umeamua kushiriki shindano la kujamba wakati bado uko kwenye dozi ya kuzuia kuhara... Na huyo Mtela wako mtachafuka na mharo wenu.
  5. B

    JamiiForums Tanzania mchango wa PJ, Gerald Hando na clouds kwa ujumla kurudisha bunge kuendelea kurushwa live...

    :welcome::welcome: Paul James Sweya, kaanzia maisha mwanza hotel kama dj baadae akapata kibarua sahara media kwa dialo pale akakutana na watangazaji wazuri wakamfundisha kazi, kutokana na ujanjaujanja alionao akaweza kutangaza na akaanza kupata umaarufu kiasi flani pale mwanza na kwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania MTEGO wa DR.ULIMBOKA uko tayari...

    Ndo kwanza watakuwa wameutangazia umma kuwa wao ndo wanahusika acha wafanye huo mpango dhaifu.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Zanzibar is gone

    :clap2: Let them go
  8. B

    JamiiForums Tanzania Lawrence Masha: Kutoka Uwaziri hadi kukusanya takataka Dar

    Leo nimemsikia aliepata kuwa waziri wa Mambo ya ndani Lawrence Masha akihojiwa na EATV akasema anafanya kazi ya kukusanya/kusomba taka toka ktk makazi ya watu, alikana kuwa alikuwa anafanyia kazi zake ROSE GARDEN ila alikubali kuna wakati alikuwa anashinda pale na akasema alikuwa anaenda pale na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete na Mbowe wakutana tena faragha

    Ni kweli wamekutana ila haikuwa kwa siri. Ilikuwa ktk msiba wa Mzee Makani ambapo Jk aliwapa CHADEMA pole kwa msiba huo na kuwapongeza kwa juhudi zao za kulikomboa taifa hili tajiri. Msako unaendelea
  10. B

    JamiiForums Tanzania Vua Gamba, chana Gwanda vaa Uzalendo kutikisa Bunge la Bajeti 2012-13

    Wazee wa ku copy na ku paste, subirini tena kuna singo za kutosha zinakuja baada ya mkutano wa bunge.
  11. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA & Kushindwa: The Future!

    Huyu jamaa simwelewi anataka kusema nin kwenye posts zake nkitaka kumjibu ntapigwa ban ngoja niwavizie magamba 2015 sio mbali.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Leo namsafisha Kigwangallah: Kampuni yake haikupata Stimulus Package!

    Hamis Kigwangallah mboja umeingia kwa ID ingine? Hawakuelewi unavyojitetea tunakujua sana sie.
  13. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapoteza mvuto majimboni..Tumewachoka

    Jf is fun and it has got every kind of people, this bullsh.i.t is also a great thinker ha ha haaaah Loh.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Kigwangalla: Kwa Nini Sikusaini Hoja ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (MB)!

    Kwa maelezo unaweza kumshawishi mtu mwenye akili zake kuwa nawe sio mnafiki? Inakuaje unaeleza maana ya unafiki halafu unaandika unafiki? Hapa unasafisha sahani halafu unaijambia kabla ya kupakua chakula... Loh!
  15. B

    JamiiForums Tanzania Uvccm Arusha waanza kufukuzana

    Huu nao ni upepo tu utatulia lakin pia tuwaache wafu wawazike wafu wenzao na ya ngoswe....
Back
Top Bottom