Wanabodi siyo kila thread inayoanzishwa na William ni Nzuri. kwanza huwa zinatia hasira ambayo mwishoni inapelekea kupata ban nakama hamjagundua hawa magamba nia yao kubwa ni waitawale JF kwa kupunguza wachangiaji wa CDM kwani wengi wao watakuwa wamepata ban kutokana na hayo mathread yao yanayo kasirisha nafikiri ifikie wakati thread kama hizi tuzidharau na kupita tu ili zisifike mbali
Watu wengi walikuja wenyewe wakati CCM watu wachache walio letwa na malori sasa inapotokea akashinda huyu alienunua watu iliwaje kumsikiliza lazima tujiulize kulikoni.....Tatizo la CDM wakiona watu wengi kwenye kampeni basi wanachulia kama wameshinda, wafuasi wengi wa CDM ni wale wasiopiga kura ndio maana wanashindwa chaguzi nyingi harafu wanasingizia wameibiwa. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Tatizo kwa Chadema ndio hilo, nimeliona na linanikera, huwezi kuendesha nchi kwa kulazimisha mambo, na kuwa na mitazamo ya kudhulumiwa kila wakati..sioni sababu ya kuandamana wakati kuna room for appeal..inafikia wakati siasa ziwekwe pembeni wa watu tu argue on facts..hii nchi ipo kama vile uchaguzi bado unaendelea wakati ulishamalizika 2010 na Rais tumeshampata..
Mimi naomba watu tufanye kazi za kujenga taifa letu..kuna mambo ya msingi mno ya kuyafanyia kazi kuliko kuandamana kila siku..inatia aibu chadema sometimes..kila siku mikutano ya kisiasa..upande wangu mimi..naona serikali yetu iwe serious nayo japo kidogo..
Hivi majuzi..tumeambiwa kuwa kule kagera kuna wahamiaji haramu kutoka Uganda zaidi ya 30,000 lakini serikali ipo kimya..hawa jamaa wanatafuna rasilimali zetu bila aibu..nenda mahospitalini..kunanuka..vitanda vimechakaa..dawa hakuna..hakuna mashine za vipimo vikubwa ..hali ni mbaya mnoo..naipenda ccm..lakini kwa staili hii ya kuendesha nchi sio kabisa..kuna ulazima gani wa kuwa na magari ya milioni 200 wakati kunayo magari mazuri tu kama rav 4 ambazo zingeweza kutumika na mawaziri..posho za safari na vikao..
Kila siku semina kwenye mahoteli makubwa makubwa..fedha zinapelekwa kwenye semina badala ya kujenga shule na kuchimba visima..mnatupeleka wapi..kwangu mimi..nabakia ccm kwakua bado sijapata mbadala wake , maana chadema are very naiive and only seeking for public liniency rather than being a real option for ccm, i believe we can make necessary changes in our party if and only if..watu kama sisi ambao hatuna majina ya mwisho kama yenu tutapewa kuleta some impact in our country..
LET US BUILD OUR BELOVED COUNTRY and not only chasing women and drinking beers!!
- Wengi wetu tunaotaka mabadiliko ya kweli kwa taifa letu, huwa tunawachukulia Chadema seriously kama chama as the best alternative from CCM, lakini pole pole au kwa kasi sana wamekuwa wakijenga imani potofu sana among wananchi kwamba kila wanaposhindwa, either iwe uchaguzi au kesi za uchaguzi, basi haki inakuwa haikutendeka na kwamba nchi haiwezi kutawalika.
- Imean, kwenye kila ushindani kuna kushinda na kushindwa, depending on how much politics you have in you kushindwa kunaweza kuwa ni kushinda, lakini unapoanza kujenga mazingara ya kwamba ukishindwa tu haki haikutendeka na hasa kwenye siasa, unajenga a very fragile political base, ambayo Mungu jalia ukija kushika madaraka itakuja kukumiza wewe mwenyewe, maana itawaruhusu uliowashinda ku-claim your conflict theory ya kutokea kwamba haki haikutendeka!
- Ujumbe wangu kwa Chadema ni kwamba some of us are taking you very serious, sasa huu msingi mnaoujenga wa haki kutendeka pale tu mnapokuwa mmeshinda, ni hatari sana kwa siasa za mbele kwa taifa, jaribuni kuweka taifa mbele kama sisi wengine.
MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
William @DSM City!

Kwa shilingi 2000 za kitanzania unaweza ukapata hukumu na proceeding zote za kesi.- Wengi wetu tunaotaka mabadiliko ya kweli kwa taifa letu, huwa tunawachukulia Chadema seriously kama chama as the best alternative from CCM, lakini pole pole au kwa kasi sana wamekuwa wakijenga imani potofu sana among wananchi kwamba kila wanaposhindwa, either iwe uchaguzi au kesi za uchaguzi, basi haki inakuwa haikutendeka na kwamba nchi haiwezi kutawalika.
- Imean, kwenye kila ushindani kuna kushinda na kushindwa, depending on how much politics you have in you kushindwa kunaweza kuwa ni kushinda, lakini unapoanza kujenga mazingara ya kwamba ukishindwa tu haki haikutendeka na hasa kwenye siasa, unajenga a very fragile political base, ambayo Mungu jalia ukija kushika madaraka itakuja kukumiza wewe mwenyewe, maana itawaruhusu uliowashinda ku-claim your conflict theory ya kutokea kwamba haki haikutendeka!
- Ujumbe wangu kwa Chadema ni kwamba some of us are taking you very serious, sasa huu msingi mnaoujenga wa haki kutendeka pale tu mnapokuwa mmeshinda, ni hatari sana kwa siasa za mbele kwa taifa, jaribuni kuweka taifa mbele kama sisi wengine.
MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
William @DSM City!
Hivi kwa mawazo yako kwa sababu ya hao majaji wenu wanaotoa hukumu kwa kuongowa na watu kwa maslahi yao na sio kufuata sheria zinavyotaka, sisi watanzania tuache kufanya shughuli za maendele tuwe na kesi kila kona ya nchi hii? mi kwa mawazo yangu hiyo hukumu dhurumishi tuachane nayo kwa sababu sisi tuna mungu wao wana vyombo vyote vya dora na fedha 2015 ndiyo watajua nguvu ya umma ilivyo kwani gaddafi si alikuwa na fedha na siraha na jeshi lote leo yuko wapi? kwa jinsi mambo yanavyokwenda katika nchi hii hawa CCM wanatengeneza BOMU ambalo hawawezi kulitegua na litawalipukia.- Yale yale mkuu jaribu kuwa na jipya, haki imetendeka kama haikutendeka hukumu ni mkusanyiko wa FACTS and EVIDENCE, muhimu ni kuwahi kukata rufaa kwenye Sheria sio kulalama kwenye public, hailisaidii Taifa in the future!, kwa sababu unajenga mazingara ya wananchi kutokubali kushindwa na wewe utakapokuja kushinda utaaambiwa exactly what you have planted yaani theory ya haki haikutendeka, ni waste ni paralysing ni very unproductive kwa taifa!
- Ni muhimu sana Chadema wakaacha hiyo tabia sasa mapema sana!
William.
ndugu william uliyoyasema hapo kuna baadhi nakubaliana nayo, kuna wakati kweli naonaga cdm wakishinda basi kila kitu kilienda vizuri wakishindwa wanalalamika wameonewa bt hiyo sio tu kwa cdm hata ccm pia ndio maana hata na wao wako mahakamani wanapinga baadhi ya matokeo.
Ukifuatilia kesi za ubunge mahakamani ni kwamba zile cdm wanazolalamika ni kwa kua kulikua na rushwa wakati wa kipindi cha kampeni za uchaguzi...wakati ccm wakienda mahakamani wanalalamika kua wagombea wa cdm walitoa matusi na kuongea vitu wakati wa kampeni ambavyo havikua vya ukweli na viliwadhalilisha...Umeona tofauti hapo Mheshimiwa??
Sijawahi kusikia ccm inalalamika kua cdm imeshinda uchaguzi kwa sababu walitoa rushwa kwa wapiga kura..but ccm kila uchaguzi ndio hivyo inavolalamikiwa...kwa hiyo inajenga imani kua CCM bila rushwa haiwezi kushinda uchaguzi... na kuna baadhi ya majimbo ambayo mpaka mahakama imekubali kua rushwa ilitendeka na wabunge wa ccm wamepigwa chini.
2015 waambie viongozi wako wa ccm kua for the first time ever wasichakachue kura, hakuna rushwa..hakuna kugawa baiskeli, pikipiki, khanga, vinoti ya 10000 kwa walala hoi wala nini...pandeni jukwaani..toeni sera zenu waiteni akina mkapa, lowassa na wengineo wajinadi...msitoe rushwa kabisa acheni kura za wananchi zifanye kazi na tume ya uchaguzi ifanye kazi yake bila kuingiliwa... Kama mkishinda uchaguzi bila kufanya niliyoyataja hapo juu...nina kuhakikishia hakuna atakayeenda mahakamani..maana kama ulivyosema asiyekubali kushindwa si mshindani na wakati mwingine kushindwa ni kushinda!!!:cool2:
Sasa wewe unatuchekesha kweli....Kwa hivi wananchi wooooooooooooteeeeeeeeeeee wanaoifurahia Chadema hawana ufahamu ila wewe ndio mwenye ufahamu zaidi kuhusu siasa inavyoendelea nchini. Give me a break. Ni hivi Chadema ni People's Power! Does it make sense now??????????????? Ninyi ndio mnaowapotosha Watanzania kuhusiana na hili Watanzania wamechoka na wizi ubadhirifu dhuluma uongo na uovu wote unaofanywa na chama tawala.- Wengi wetu tunaotaka mabadiliko ya kweli kwa taifa letu, huwa tunawachukulia Chadema seriously kama chama as the best alternative from CCM, lakini pole pole au kwa kasi sana wamekuwa wakijenga imani potofu sana among wananchi kwamba kila wanaposhindwa, either iwe uchaguzi au kesi za uchaguzi, basi haki inakuwa haikutendeka na kwamba nchi haiwezi kutawalika.
- Imean, kwenye kila ushindani kuna kushinda na kushindwa, depending on how much politics you have in you kushindwa kunaweza kuwa ni kushinda, lakini unapoanza kujenga mazingara ya kwamba ukishindwa tu haki haikutendeka na hasa kwenye siasa, unajenga a very fragile political base, ambayo Mungu jalia ukija kushika madaraka itakuja kukumiza wewe mwenyewe, maana itawaruhusu uliowashinda ku-claim your conflict theory ya kutokea kwamba haki haikutendeka!
- Ujumbe wangu kwa Chadema ni kwamba some of us are taking you very serious, sasa huu msingi mnaoujenga wa haki kutendeka pale tu mnapokuwa mmeshinda, ni hatari sana kwa siasa za mbele kwa taifa, jaribuni kuweka taifa mbele kama sisi wengine.
MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
William @DSM City!
- Waheshimiwa Zitto, Januari, na Mbowe walisema maneno kama yangu, je na wao walishindwa ubunge wa EAC? I mean where is a common sense japo kidogo tu?
William.