Magazeti ya IPP media!

Magazeti ya IPP media!

mazoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
215
Reaction score
41
Haya yanaendeleza status quo ya serikali.Je kuna independent journalists ?
Wanaweza kuandika na kukemea uovu na rushwa serikalini?

Namwona Mengi yuko interested na biashara zake ,bora angeacha magazeti ,maana hakuna tofauti na Mzalendo,Uhuru au Daily News.
 
Mkuu ungetupia na mfano mmoja wa habari toka IPP media.
 
Haya yanaendeleza status quo ya serikali.Je kuna independent journalists ?
Wanaweza kuandika na kukemea uovu na rushwa serikalini?

Namwona Mengi yuko interested na biashara zake ,bora angeacha magazeti ,maana hakuna tofauti na Mzalendo,Uhuru au Daily News.
Huyu jamaa naona amekengeuka! anashindwa kutofautisha hata kati ya giza na mwanga! tumwombee wakati wa pasaka hii! Toa vielelezo vya madai yako!.
 
Tatizo lenu mnataka kila gazeti ligeuke la udaku kama Tanzania Daima...
 
Yaani kuna watu wanaichukia serikali na wanatamani kila mtu aiseme vibaya!dont be desperate mkuu,mi mtizamo wangu kwa serikali naona inajitahidi kwa kiasi chake.
 
Tatizo lenu mnataka kila gazeti ligeuke la udaku kama Tanzania Daima...
Kujitoa mhanga nakuandika ukweli kama wa Mwanahalisi na Tanzania daima kwa inchi hii yataka uwe na kichwa cha mwendawazimu mkuu.Kuna magazeti kama la Uhuru siwezi hata kulitumia kama toilet paper
 
Haya yanaendeleza status quo ya serikali.Je kuna independent journalists ?Wanaweza kuandika na kukemea uovu na rushwa serikalini?Namwona Mengi yuko interested na biashara zake ,bora angeacha magazeti ,maana hakuna tofauti na Mzalendo,Uhuru au Daily News.
hueleweki unaishia kupayuka tu pasipokutoa dukuduku lako
 
90% ya vyombo vya habari sasa hivi vinafanya kazi ya propaganda za magamba.
 
For your information!!! Who is behind Mwanahalisi and This Day!!! After all This Day sijaliona tena. Haliko within purchase line ya magazeti ya ofisi and sina time ya kulifuata!! Ukipata majibu yake theni utaweza kutenganisha IPP typical magazeti na haya niliyokutajia!! Business!! Sorry my dear mwanahalisi. Vendors walikuwa wanaiwekea home nalikuta naburudika nalo jioni, hata kama nimesafiri nitakuta pile.
 
Haya yanaendeleza status quo ya serikali.Je kuna independent journalists ?
Wanaweza kuandika na kukemea uovu na rushwa serikalini?

Namwona Mengi yuko interested na biashara zake ,bora angeacha magazeti ,maana hakuna tofauti na Mzalendo,Uhuru au Daily News.

Samanahani, ila sikujuwa kama mpaka leo hii kuna watu wanasoma magazeti ya Mengi (IPP Media). This guy is pro CCM na ni mshikaji wa Kikwete hivyo hawezi kuruhusu Kikwete ama viongozi wa serikali yake watukanwe na magazeti yake. Nakupa pole kwa kusoma magazeti ya IPP Media.
 
Haya yanaendeleza status quo ya serikali.Je kuna independent journalists ?
Wanaweza kuandika na kukemea uovu na rushwa serikalini?

Namwona Mengi yuko interested na biashara zake ,bora angeacha magazeti ,maana hakuna tofauti na Mzalendo,Uhuru au Daily News.

unataka aandike zipi?
 
Mengi nae yuko na magamba. Ila uzuri wake anasoma alama za nyakati.
 
Back
Top Bottom