Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,020
Mateka wa CCM mnajitekenya wenyewe alafu mnacheka wenyewe.Umeniudhi sana kuwastua mapema hawa,wenzako hilo tulilijua siku nyingi sana lakini kwa kuwa tunajua kula na vipofu tumekua tukiwachunia tu ili waendelee kupoteza muda kwenye kususa na kuandamana huku wakiendelea kupoteza umaarufu,sasa kwa thread kama hizi wataamka hawa watu,ungewaacha tu.
M4C inawanyima usingizi sana.
Poleni sana najua mko utumwani, tutawakomboa soon.
M4C with no apology.