Nenda Pangani(Mwera,Ushongo,Mkwaja) huko utapata kwa bei nzuri na usafiri ni huko huko kutoka kipumbwi to Mkokotoni Znz.kwa maelezo zaidi tafuta wenyeji wa maeneo hayo
[emoji3591]Hakuna vijiwe vya kahawa,
[emoji3591]Maduka ya mangi na wapemba utayatafuta kwa tochi.
[emoji3591]Nidhamu na Usafi ni jambo la muhimu zaidi.
[emoji3591]Kagame hadhihakiwi mbele ya mnyarwanda.
[emoji3591]Lugha yenye kuongewa zaidi ni kinyarwanda na kifaransa kwa hiyo kiswahili na...
Rushwa kwao iko nje nje nilishangaa mno kuona maafisa wakubwa wa uhamiaji,polisi na wafanyakazi wa Airport wakiniomba rushwa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.