Video: Azam TV tunzeni heshima yenu, hivi ni vitasa feki

dogo kama unaona ngumi ni rahisi omba game. Hakuna boxer mwenye ngozi ya chuma. Ukipigwa sehemu nyeti unatulia
 
Azam yeye ni mrushaji tu na mdhamini lakini hao mabondia nadhani ni kazi ya mapromota
 
Promota mwenyewe kaike namuonaga mjanja mjanja yule pamoja hizi mambo za ngumi kaanza nazo zamani
 
Za chinichini zinasema Bondia alikuwa hajala msosi wa kutosha na hakufanya mazoezi ipasavyo
 
Back
Top Bottom