DR SLAA UMEKUWAJE TENAAAA?????
hakuna ubishi kwamba Dr Slaa amefanya kazi kubwa kuijenga Chadema, pamoja na viongozi wengine Kina Mbowe, Lisu, Mnyika na wengineo wengi.
Na Dr Slaa aelewe pia kuwa kuna wengine walimpisha yeye kugombea uraisi kwa Chadema hapo kabla kwasababu walijua alikuwa na...