CCM wavunja record ya UKAWA, ni el ninyo

CCM wavunja record ya UKAWA, ni el ninyo

Hao wanosema watu walisombwa nawashangaa sana. Ule ulikuwa mkutano wa ufunguzi wa kampeni ya nchi nzima. Wawakishi, wanachama, mashabiki na wananchi wjtoka kila pembe ya mkoa. Mlktaka watu watoke kigamboni, kibamba, pugu, mbagala kwa miguu? Kama mabasi yakutosha usafiri wowote ulikuwa sawa tu.
 
mimi niliangia luninga TBC kubadili kwenda ITV nikaona utofauti katika ile nyomi. SIO KAMERA TRICK IMECHEZWA PALE KWENYE LUNINGA?
 
Kiukweli watu waliojitokeza katika mkutano wa CCM umevunja record nipashe wameita gharika ila mm naona ni elinino.
Hoja ya nyomi mikutanoni sasa sio hoja mafuriko yamejibiwa na mvua za elnino

Ha ha ha ha ha hv si walikaaa kwenye viti ehee!!! Ujue nusu ya ile ni popln toka mikoani, tusubir huko mikoani tuone. Pia tutakualika uje ubashiri kama mkutano wa UKAWA ni gharika, mafuriko au elnino
 
20% walikuwa washabiki wa diamond na wema sepetu, 20% walienda kushangaa bongo movie, 30% wanachama wa ccm, 20% wadau wa buku 5, 10% wafanyabiashara...hii ndio fact
 
A cha kujidanganya we we with wakuzoa name mafuso toka Chalinze.tandika.mbagala.bagamoyo.unasema nyomi tens wamekiti kwenye viti.jiulize no Vito vingapi vilipangwa .hizo no ndoto za mchana kuvunja rekodi ya ukawa.
 
Kiukweli watu waliojitokeza katika mkutano wa CCM umevunja record nipashe wameita gharika ila mm naona ni elinino.
Hoja ya nyomi mikutanoni sasa sio hoja mafuriko yamejibiwa na mvua za elnino

Ukijumlisha Washabiki Wa Wasanii Sawa.
 
Usafiri bure
Viti
Show ya Bure kutoka kwa Diamond
Maraisi Watatu
Madela na Shati
Bendera za Tanzania Bure
 
Back
Top Bottom