UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
CCM as a party 40%
UKAWA Coalition 60%
John Magufuli as an individual 75%
Lowassa as an individual 25%

Overall ccm/Magufuli 55%
Overall ukawa/Lowassa 45%
 
CCM wanasema Lowassa hawezi enda magogoni.
Sababu ni ile dhana inayojulikana kama Party Supremacy.
Kwamba Chama kina nguvu kuliko kitu kingine chochote.
Yaani kwa kifupi ni kwamba hata mkuu wa majeshi na wakubwa wa vyombo vya usalama kwa siasa za hapa kwetu wako chini ya chama na wanatii amri ya chama.
Sijui wadadavuzi wa mambo kuna ukweli wowote kwenye hili?
CC: Pasco, MWANAKIjiji, Watu8, MNYISANZU, Ben Saanane, Tumaini Makene, Fanfa, tycoon, et al

Kitakachoiondoa ccm safari hii sio viongozi wa vyama au muungano wao bali ni nguvu ya umma, Hawa kina LOWASSA, UKAWA nk ni mandate tu ya kisheria kufanikisha lengo ndio maana hata UKAWA ulipoyumbishwa na 'kitengo' bado wananchi walisimama imara
Maandamano ya jana ile nyomi ile kwa umbali wote ule ni indicator na tahadhari kwamba, wananchi sasa wanataka mabadiliko

Lipumba alipokewa kwa maandamano makubwa sana alipotoka ulaya kwenye ile timu ya kurekebisha uchumi wa dunia, wananchi walikuwa na matumaini makubwa sana kwake waliacha kazi zao na kwa kutumia rasilmali zao walimsindikiza kwa maandamano makubwa toka airport mpaka kinondoni kupitia Mandela rd.
Tukio hili ndio lilimuaminisha lipumba kwamba yeye ni zaidi ya chama yeye ni zaidi ya wananchi hivyo akaamua kusaliti mabadiliko akijua atapata support ileile...kilichotokea kinajulikana

ccm wajifunze kwa matukio haya ya karibuni, kwamba LOWASSA katoka chamani na nyomi ya watu tena wengine very potential, chama kimetikiswa hasa... Lipumba katoka chamani... Maskini katoka mpweke tena pekeyake tofauti na LOWASSA alipotoka ccm, lipumba katoka na chama kikazidi kushikana...dalili tosha kuwa ni wakati wa mabadiliko sasa
 
Last edited by a moderator:
Well Said Mkuu, ila kiuhalisia zaidi, ukipunguza kwa EL almost 20% zitakazopotelea ktk kujinusuru kupitia 'MAGOLI YA MIKONO' utafikia kuwa 'POMBE' anapata 35% na LOWASSA 60% na itakayobakia 5% inaenda kwa Wasaliti, et al!...

....saa ya kufa miti, nyani wote huteleza, sorry, the opposite is true'....CCM iliwahi kuishi TZ, sio kizazi cha sasa...bye byee, the chlorophyll

Hahahaaaaa...hii hatari sana mtawafanya magamba wafe
 
Hata kula ya maoni alitegemea ashinde kwa kiwango hicho hicho lakini matokeo yakawa hasi (-). Dalili za mvua ni mawingu. Jinamizi la mkosi na kushindwa litaendelea kumuandama tu mpaka mwisho wa maneno. Ataishia kusoma namba mwaka huu. Na hii laana inatokana na kukataa madaraka mwenyewe, kwanini alijiuzulu u PM. Nyota yake katika siasa imeisha kuwa nyeusi na haiwezi badilika.

Ole wao NEC wakifanya kazi kama ya akina Mkapa, Mwinyi, Kinana et la ya kutomfikisha Lowassa katika 5 bora!

Ole wao warudie kutagaza kura za mshindi kuwa ni za CCM regardless nani kashinda!

Kura za mwaka huu ni sunami, wataiba na hazitatosha!
 
kwa mfumo wetu ulivyo TISS na Vyombo vingine vya dola hufanya kila wawezalo kuhakikisha CCM inashinda ki mbinu na kimikakati. Wanafanya hivyo kulinda nafasi zao, kumbuka serikali ikibadilika kwa nafasi za kuteuliwa kama mkuu wa majeshi, TISS, Police na wale senior officers wanaweza kupoteza nafasi zao. hata ungelikuwa wewe lazima ungefanya hivo. Hata Jaji Lubuva naye lazima alinde maslahi binafsi. Ni vigumu kumtenganisha Mwnyekiti wa tume ya uchaguzi, Mkuu wa TISS, Police, Jeshi nk na CCM kwenye mikakati ya ushindi.

Tunahitaji muujiza utokee na nguvu za mungu ndo upinzani washinde au kupewa nchi

Joseph Stalin — 'Those who vote decide nothing. Those who count the vote decide everything.'
 
It doesn't matter who wins cause in the end mi naona ni CCM vs CCM mwaka huu, sioni CCM vs UKAWA...
Unajua watu wana-underestimate the power of one person, hawa candidates sio kwamba wako driven by maamuzi ya chama, they are capable of changing anytime na wakaipeleka nchi pabaya, rais ni moja ya watu muhimu sana nchini na they shouldn't be taken lightly coz wana-belong chama flani, hujaona burundi Rais mtu mmoja tu kitendo cha mgomo wake nchi watu wamekufa wengi tu, My point is, sometimes tusiangalie chama, tuangalie mtu kama mtu coz they can also make their own decisions against chama wanapokua madarakani n chama kikashindwa kumfanya chochote.

I would have accepted anyperson from UKAWA ila not this guy, hes pure CCM, anaweza kushinda, nobody knows, ni personal preference tu.

Undecided
 
It doesn't matter who wins cause in the end mi naona ni CCM vs CCM mwaka huu, sioni CCM vs UKAWA...
Unajua watu wana-underestimate the power of one person, hawa candidates sio kwamba wako driven by maamuzi ya chama, they are capable of changing anytime na wakaipeleka nchi pabaya, rais ni moja ya watu muhimu sana nchini na they shouldn't be taken lightly coz wana-belong chama flani, hujaona burundi Rais mtu mmoja tu kitendo cha mgomo wake nchi watu wamekufa wengi tu, My point is, sometimes tusiangalie chama, tuangalie mtu kama mtu coz they can also make their own decisions against chama wanapokua madarakani n chama kikashindwa kumfanya chochote.

I would have accepted anyperson from UKAWA ila not this guy, hes pure CCM, anaweza kushinda, nobody knows, ni personal preference tu.

Dreson4
Nakubaliana na wewe asilimia zote. Yeyote atakayechaguliwa ataapishwa kwa katiba ya 1977 ambayo inampa rais madaraka makubwa ya kutisha. Nasikitika sana kuona watu wanajifanya vipofu na kudai kwamba wakati ukifika watamdhibiti kwa vikao vya chama au bunge... Ni njozi za Alnacha. Wagombea wote ni CCM na watabaki kuwa CCM hata baada ya uchaguzi
 
Undecided
U r right mkuu, haven't made my decision yet! In the long run i'll decide who wins my vote. Ila sipelekwi na mtu kua chama flani. I judge a person as an individual not the group s/he exists in..
 
Kwa dalili hizi basi nakubaliana na mtoja hoja asilimia mia.

11056643_707302826079933_6080818835426121834_n.jpg

Waliobaki ccm nawaona ni km MATIKIKITI MAJI......nje wa KIJANI ndani WEKUNDU.
 
Nyie Ukawa wenzenu hawachezichezi hapa jf, wako site kufanya yao.
nendeni huko ,,kelele za umu haziwasaidii, jf yenewe imejaa wajuaji.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom