Nipo Kilindi Tanga,tatizo langu ni kwamba ninapowasha simu yangu nikichelewa kuondoa picha ya PAMCHART kwenye screen ya simu yangu,halafu nikifungua OPERAMIN kwa ajili ya Internet basi laini yangu ya voda inaandika INVALID SIM CARD ilhali laini ipo na sijaisogeza wala kuigusa.Na nimejaribu...
Swali langu ni kwamba kuna dhuluma au wizi mnaufanya nyie nmb iko hivi nikitaka kuangalia mathalani salio kupitia nmb mobile mnaniletea ujumbe kuwa huduma hii kwa sasa haipatikani jaribu tena baadaye lakini vocha yangu ya kwenye laini imekatwa na kupungua.
Sasa huu si wizi wa hila,iweje...
Kuna rafiki yangu yupo Kilindi Tanga idara ya elimu msingi anataka kubadilishana na mwalimu kutoka wilaya yoyote toka mkoa wa Kilimanjaro.No.0687829764 au 0766560556.
Na wewe pia mkuu.Lakini kuna kitu nami ninataka kukiongezea hapa,binadamu tumekuwa watu wa kupenda kutii sheria kwa shuruti.Hivyo niwashau wandugu tuupokee mwaka wetu mpya kwa amani ifikapo saa 5:59.Tusije tukafanya fujo zinazoweza kutufanya tuweselo
Mungu awarehemu ndugu zetu wote waliotangulia mbele ya haki, pamoja na kuwapatia nafuu ndugu zetu waliojeruhiwa.Vilevile awape mioyo ya subira wale wote walioondokewa na ndugu, jamaa na marafiki zao.Ameen!
Kiukweli hawa jamaa wanaboa kwani jana usiku nilinunua dakika 20 za kupiga voda-voda matokeo yake asubuhi ya leo nilimpigia mtu wa kwanza nilitumia dakika 12 then nikampigia mtu wa pili nikaongea dakika kama 3.Chakushangaza nilipigiwa alamu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.