Vodacom ni wezi wa airtime

Vodacom ni wezi wa airtime

hata ile elfu moja wanayosema umepewa ukitumia mpesa mi sijawahi kuitumia
 
Mie nikitaka kuweka cheka bombastiki nahakikisha salio lang ni tsh.5 ndo najiunga.maisha plus
 
Kiukweli hawa jamaa wanaboa kwani jana usiku nilinunua dakika 20 za kupiga voda-voda matokeo yake asubuhi ya leo nilimpigia mtu wa kwanza nilitumia dakika 12 then nikampigia mtu wa pili nikaongea dakika kama 3.Chakushangaza nilipigiwa alamu.
 
Back
Top Bottom