Recent content by baby shizzo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

    mbona hii habari sio current inaonekana imetolewa 2015 hata tulikua hatujapiga kura
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ndoa ina mwaka sasa inanishinda, sina hamu ya kufanya tendo la ndoa na mke wangu

    nitafute Pm nitakuelekeza dawa naamin itakusaidia na utaokoa ndoa yako
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ndoa ina mwaka sasa inanishinda, sina hamu ya kufanya tendo la ndoa na mke wangu

    maumbile makubwa nakutokwa maji ni tatizo kwa wanawake wengi ila zipo njia zakutibu tatizo hilo na ukainjoy mchezo
  4. B

    JamiiForums Tanzania Huyu Binti nataka nimuoe, ila nimeona anadaiwa na HESLB Mil 17 na mwaka wake wa mwisho chuo Alidisco

    tehetehteh kumbe deni lamkopo linaweza kukukosesha mume daah hii nimeipenda na mie nadaiwa mpango wakulipa sina ngoja nitafute mapema wakunioa kabla gemu haijashtukiwa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nina 'business plan', sina mtaji

    Habari wanajamvi, Nina degree ya public relations and marketing nilihitimu mwaka jana, nimeomba kazi sehemu tofauti bila mafanikio. Mwenye mtonyo wa ajira anijulishe lakini nakata tamaa ya kutafuta kazi maana nimechoka. Nina business plan yangu lakini sina mtaji dooh masikin mie! Tusaidiane...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Daladala route ya K.koo na Posta toka Mbezi na Kimara imezuiliwa

    duuh hii sasa kali uwiii ngoja nirudi zangu mwanza hadi muafaka upatikane nitarejea
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kima cha chini cha mshahara kwa CPA(T) without experience

    Duuuh kumbe,niliombaga kaz sehem na degree yangu yamarketing wakanambia niweke hiyo cpa me nilijua ni Gpa,likawa tatizo,lugha gongano
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kima cha chini cha mshahara kwa CPA(T) without experience

    naona mnaongea sana wengine mnawaacha nyuma,CPA ni nin?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Marketing people are needed

    kampuni iko wap na yaitwaje na wanadeal na nin
  10. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yajikanyaga yenyewe

    we nimeshakujua ndo maana kila kitu unaenda kinyume laiti yangekufika ndo ungejua kinachoongelewa ni kweli ama si kwel,bora tu unyamaze maana yalotufika tunataman tukurukie tukung"ate hata pua[emoji45]
  11. B

    JamiiForums Tanzania Channel ya Star Tv imeondolewa kwenye orodha ya channel kwenye kisimbuzi cha StarTime?

    me kwangu haipo but nilijua ni king"amuzi changu tu kumbe nawengine
  12. B

    JamiiForums Tanzania Neno lolote kwa ex wako

    Bado nampenda nayeye ananipenda lakini nimepata mbora zaidi yake,aoe tu mwingine asipoteze mda wake kwangu
  13. B

    JamiiForums Tanzania TRENI ya kwanza ulimwenguni inayosafiri angani imezinduliwa China

    wachina wanatengeneza vitu kwa grade vitu tunavyoletewa tanzania grade yake nitofauti na vile vinavopelekwa tuseme labda marekan ivyo usikariri eti wachina vitu vyao feki,wenzio wanaangalia market
  14. B

    JamiiForums Tanzania Viwembe au shaver nzuri za kunyoa nywele sehemu za siri

    kweli waxing ni nzur waweza hata tengeneza mwenyewe
  15. B

    JamiiForums Tanzania Masikini Waalimu!!!

    tehtehetehe hadi raha maana hii sio karaha
Back
Top Bottom