Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

kwa alivyomchambua makondakta, hadi watu waliamini kweli punga kumbe uzushi tu, jamaa kanywea kaamua kunyamaza kimya tu. angekuwa mtu mwingine kwa uzushi ule angeshachukua kamba. kuambiwa punga na wewe ni public figure tena mwenye mke si kitu kidogo ati.
 
Joyce Kiria nilikuwa namuona kidogo ana akili kumbe hamna kitu kabisa halafu bahati mbaya sijui kama ana fahamu ana tetea nini! Mange anashitakiwa kwakuwa anatukana watu mitandaoni tena matusi ya nguoni na wala si kwasababu huongea facts!
Tatizo la Mange ku ni ku attack watu!

Kwa kudundwa na mumewe
Bibie kamgeuka kama vile hakumsaidia alivyokuwa selo... eeeeh maisha
 
Mange ametoka mbali.. nilishasahau haya ya 2015.. hadi nimekumbana na huu uzi tena mwaka huu.
 
Kumbe huyu dada alianza kitambo kitambo haya mambo ukweli mimi nimemfahamu zaidi kuanzia mwaka jana ...
 
Back
Top Bottom