Recent content by Baby jay

  1. B

    Rais John Magufuli: Nikisema Ukweli, Watanzania Wenye Uchungu Mtalia!!!

    Haahaa mwandishi una mbwembwe eti ameingia kwa mbinu za kisasusi khaa,angekuwa peke yake no waandishi ningeamn kidogo,halafu lile contena la gar mbona kama lilitegeshwa tu maana kama watu waliplan vile basi hawana akili maana kifungua tu gar linaonekana nilitegemea kuwe na nguo nyingiii za kutoa...
  2. B

    Madawa ya Kulevya Awamu ya III: RC Makonda amkabidhi majina 97 Kamishna Mkuu wa madawa ya kulevya

    Haahaa makonda bana kaamua ampe speech TID kabisa maana angemuacha aseme yake ingekuwa shida
  3. B

    Serikali: Marufuku kufukuza wanafunzi shule binafsi wanaofeli wastani

    Ili wawanyime vizuri mkopo vyuoni
  4. B

    Bora hata Shukuru Kawambwa, Prof Ndalichako anaharibu elimu yetu

    Hii ndalichako ameikuta ni Sera ya elimu ya 2014 hii ni kutokana na lifespan yetu mtu anapoteza miaka mingi shuleni,so 2014 ndio sera ya elimu ilipendekeza hivi na pia miaka ya primary itashushwa,na advance walitaka iwe mwaka mmoja tu.
  5. B

    Jaydee afunga mwaka kwa kuonyesha talaka hadharani

    Hakuna kitu kinauma kama niwe na mpenzi/mume halafu bado amuongelee ex wake khaa huyo MV spice ana moyo
  6. B

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Pasco ingawa huu uzi wa muda sisi wageni bado tunahitaji elimu zaidi juu ya hili pangeni basi siku ya kujadili kwa kina hii mada atleast kwa wiki mara moja.
  7. B

    Nashindwa kutumia condom

    usijali utaweza kumeza ARV
  8. B

    Wenye ndoa piteni hapa kwa ushauri

    khaa et "madam"
  9. B

    Ushauri: Mke wangu hana tabia ya kunitambulisha kwa marafiki/ofisini kwake na hata wakija nyumbani

    raha jipe mwenyewe kama hakutambulishi jitambulishe mwenyewe.....yaan ile anamaliza tu utambulisho wa mtoto na ww unadakia "na mm ni mume wake" ss kama hakupend utaona huo mnuno wake home
  10. B

    Kwanini wanawake/wasichana wakishaolewa wanajisahau?

    upendo ni pande. mbili.japo wapo unaosema..ila kwa uandishi wako inaonesha kama unaona kumuoa huyo mwanamke kama umemsaidia so unataka usujudiwe .
  11. B

    Kwanini mke wangu hataki kunisamehe?

    hizo harakati za kuomba msamaha ungezitumia kujiepusha na zinaa na shemeji yako wala yasingetokea hayo
  12. B

    Natafuta kazi ya kujitolea

    huko nilishatuma nikapiga had oral wakasema nisubiri naona kimya hadi leo toka december
  13. B

    Natafuta kazi ya kujitolea

    huko nilishatuma nikapiga had oral wakasema nisubiri naona kimya hadi leo toka december
  14. B

    Natafuta kazi ya kujitolea

    Mimi ni msichana(26)ninaishi dodoma.Elimu yangu ni shahada ya project planning managment nina uzoefu wa kazi za research.Nahitaji kupata ujuzi zaid hata kwa kujitolea.
  15. B

    Kigogo mzito serikalini shoga

    biashara matangazo ndio maana wameweka jina na picha ya mfanya biashara kigogo ni mteja tu hana kosa
Back
Top Bottom