Recent content by Babuyao

 1. B

  Kardinali Laurence Sengo wa kanisa katoliki Congo amtaka kabila aondoke madarakani.

  Umekosea jina lake. Anaitwa Laurent Monsengwo Pasinya. Ukigoogle utamkuta.
 2. B

  Laana ya kufanya mapenzi na watu wa familia yako

  Wala si suala la laana, bali ni suala la kibaolojia tu.
 3. B

  Kwa nini wanawake wanafanana miandiko?

  Mwandiko uliolazwa kwa nyuma (kina dada) na ule umelazwa kwa mbele (wanaume). Mi nadhani hili limekaa kisaikolojia zaidi. Yafaa kutafakari zaidi.
 4. B

  Baada ya kuibiwa simu nimefuata process zote kuipata ni shida

  Hii ni bongo ndugu. Usitegemee kupata ufumbuzi mara moja.
 5. B

  Kwanini vijana wenye uwezo mkubwa darasani wengi wanapata magonjwa ya akili?

  Mwenyekitu, umesema kweli kabisa. Majiniasi wengi hawana creativity. Ila wana photografic memory hawasahau kitu. Wanameza yote na kukumbuka yote. Ila ubunifu wengi wao hawana.
 6. B

  Am new member(utambulisho)

  Karibu sana. Ila una sura chafu Jonas kama unavyojibainisha kwenye picha. Mpua wako unatisha Jonas. Karibu hata hivyo.
 7. B

  Kwanini vijana wenye uwezo mkubwa darasani wengi wanapata magonjwa ya akili?

  Aristotle kasema ukweli mtupu. Na huo ndiyo ukweli.
 8. B

  Kwanini vijana wenye uwezo mkubwa darasani wengi wanapata magonjwa ya akili?

  Umesema jambo la maana kabisa. Genius ni mtu aliye na akili zisizo za kawaida, yaani ziko juu sana. Ndo maana anakuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa kichaa kwa sababu akili yake inachaji sana sana. Wakati wowote inafyatuka. Na hakika wengi ambao akili yao imefyatuka ni watu wenye akili nyingi...
 9. B

  Namshukuru Mungu kwa kuniepusha na kifo

  Daima siendeshi gari bila kufunga mkanda. Mkanda ni wa lazima. Pole sana. Mshukuru Mungu kwa kutoka salama katika ajali hiyo.
 10. B

  Kwanini vijana wenye uwezo mkubwa darasani wengi wanapata magonjwa ya akili?

  Ni wazi mtu mwenye akili nyingi ubongo wake unachaji sana ndo maana "zinafyatuka." Si kawaida mwenye akili za kawaida zikafyatuka. Wenye akili ndogo wanakuwa mazezeta au mataahira. Majiniasi huwa zinafyatuka ghafla. Kuwa na akili nyingi (genius) ni hatari kwa afya. Tuwasikie wataalamu zaidi.
 11. B

  Vyakula vya aina 6 vinavyozeesha ngozi yako

  Hata tu usipokula vyakula hivyo ngozi itazeeka tu na kuchoka. Hapo hakuna jinsi.
 12. B

  Kwanini usukani wa gari unakaa kulia au kushoto badala ya kukaa katikati?

  Magari yote yenye kuweza kwenda spidi kubwa yana usukani pembeni (au kulia au kushoto). Lengo lake ni kurahisisha dereva kulitawala gari. Na hii ina msaada zaidi pale anapopishana na gari nyingine ili kuhakikisha anapima umbali wa gari lake na wa lile linalokuja mbele yake ili yasigongane au...
 13. B

  Ungependa kuolewa na mwanaume wa kabila gani?

  Wasukuma yawezekana wana sifa unazozitaja. Shida yao: ni washirikina sana. They are killers. Mnisamehe wasukuma mliopo. Ha ha haaaaa.
 14. B

  Kwanini Nyerere hakutaifisha seminari za Katoliki?

  Seminari (seminarium kwa kilatin) maana yake kitalu kunakopandwa mbegu za wito wa upadre, wito wa kuwa mtumishi wa Mungu. Huko ndiko mbegu changa ya wa vijana wenye wito huo hulelewa mpaka kukomaa na kuzaa matunda (kuufikia upadre). Shule hizi ni maalum kwa kazi hiyo. Kumbe ratiba zake na...
 15. B

  High heels make women look good

  ila inategemea pia na aina ya miguu. Miguu mingine imebinukia ndani unakuta mvaaji anashindwa hata kutembea, anahangaika badala ya kutembea kama twiga anatembea kama kware anapakuapakua huku heels zikifyatukia ndani ya uekeleo wa matege. wengine tumiguu ndo hivo tena kama spoku za baiskeli...
Top