Gai da seboga
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 532
- 1,036
- Thread starter
- #101
Asee kutoboa aya maisha ata sijatoboa thn mikosi iniandame, Mungu aniepusheee kwakwelWanasemaga ni ishara ya mikosi
Asee kutoboa aya maisha ata sijatoboa thn mikosi iniandame, Mungu aniepusheee kwakwelWanasemaga ni ishara ya mikosi
Faraka ni nini mkuu!!Kuna faraka kubwa inataka kutokea, fuatilia utaona Kuna viashiria
Kataa hiyo ndoto kwa maombi mkuuAsee kutoboa aya maisha ata sijatoboa thn mikosi iniandame, Mungu aniepusheee kwakwel
Dah! Basi inakulazimu ufanye maombi/ upige dua ya kutosha aisee ili uondokane na ndoto za aina hii.Sijawahi mtamani na kuhusu makoloni yapo tele mpk nayakimbia mwenyew, cna ugwadu na wanawake mana wapo tu na juzi tu nmeshusha tui kwa manz fulan
Wewe Bujibuji weweDuh......
Mabao matatu tu? Ukila haramu tafuta nono, Ile Hadi mifupa. Ilitakiwa upige mabao 27
Hapo hata mimi kaniacha hoiNdoto gani hiyo ya bao tatu!
😀😀😀Nipasie dadako nioe mapema atoke nyumbani mkuu msije mkaharibu kweli
Kuna ugomvi au vita kubwa inakuja kati ya wewe na huyo dada yako.Natumai sasa nimeelewekaFaraka ni nini mkuu!!
Nmesema sijawah mtamani wala sina hisia nae,, nikwambie tu huko nyuma nilishawah muona dada angu mwingine uchi akioga mtoni na sikuwahi ata simamisha, ndugu wa damu unamtamani vipi sasa! Ningemtaman nisingejutia wala kujilaumu na wala ncngetaka maana hapa man nngefurahia, lkn leo cku yangu imekuwa mbayaaa san yan cna rahaMambo uliyowaza mchana umeyaendeleza hadi usiku. Pole sana kwa kumtamani dada yako.