Laana ya kufanya mapenzi na watu wa familia yako

mangatara

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
13,941
Points
2,000

mangatara

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
13,941 2,000
Kwa waliokwisha kulaanika mawazo kama hayo hayatoki kichwani mwao. Kule tu kumtamani hata kama ulimkuta anaoga upenuni wewe ni zaidi ya shetani. Hata kumuingia ukiwa mlevi huwezi kama wewe ni mstaarabu
 

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
8,055
Points
2,000

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
8,055 2,000
Kila cha darasani ni sahihi. Inategemea unakisema mbele ya nani.

Incest kisayansi ni kosa!!? Unajua jinsi familia za kifalme zinavyooana?

Kinachosemwa ni kua ndugu mkizaliana mnakosa immunity hivyo kama kuna ugonjwa ni sugu kwa mtu A hata mtu Z ugonjwa huo utakua sugu kwake.

So mnajiweka katika hatari ya annihilation.

Kama ulisoma clearly mimi sikukubaliana na incest, ila nilipinga wewe kusema civilized society haziwezi kujadili hiki kitu. Hiyo ni kwakua mimi na wewe civilization tumeirithi na tuliowarithi wanapractice incest.

Go figure.

Mzee Castr,Unaposema kila usomacho darasani ni sahihi,then I cant take you serious aisee,thats cold and dishonesty of you,it is unbelievable...Unaposema "inategemea unasemea mbele ya nani",meaning its "truth" depends on the audience,this kind of schooling is really suspect at best..true proven concepts cut across regardless who is an audience.

Unapobisha biologically incest sio sahihi eti kwa sababu "wafalme" wanafanya,then I can safely say your rationality is not to be trusted here...unabishana na proven scientific findings after intensive research and experimentation,who are you to oppose?Tell us why we have to believe you mr "keyboard scientist" eti kwasababu wafalme wanafanya incest?
 

Msweet

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2014
Messages
1,784
Points
2,000

Msweet

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2014
1,784 2,000
Jana kuna uzi uliingia hapa ukiwa na maelezo tata ambapo mleta mada aliomba ushauri namna ya kumwepuka binti yake aliyetaka afanye nae mapenzi kabla ya mwanaume mwingine.

Kulikuwa na wachangiaji wa kila sampuli, wengine wakionya na wengine wakisapoti na kujaribu kueleza experiance zao katika kadhia hiyo huku wakichukulia kawaida vitu visivyokuwa vya kawaida.

Nimeona nilete hapa uzi kwa ajili ya watu kujielimisha juu ya madhara makubwa yaletwayo na laana itokanayo na dhambi hiyo.

Mtu yeyote mwenye ufahamu na jambo hili nakaribisha mchanngo wake na ntakuwa napandisha michango kama updates hapa kwenye uzi iwe rahisi kwa wasomaji kupata mawazo constructive moja kwa moja.
Karibuni.
15 Na alaaniwe mtu afanyaye sanamu ya kuchonga, au ya kusubu, machukizo kwa Bwana, kazi ya mikono ya fundi, akaisimamisha kwa siri. Na watu wote wajibu, waseme, Amina.
Kumbukumbu la Torati 27 :15

16 Na alaaniwe amdharauye baba yake au mama yake. Na watu wote waseme, Amina.
Kumbukumbu la Torati 27 :16

17 Na alaaniwe aondoaye mpaka wa jirani yake. Na watu wote waseme, Amina.
Kumbukumbu la Torati 27 :17

18 Na alaaniwe ampotezaye kipofu akakosa njia. Na watu wote waseme, Amina.
Kumbukumbu la Torati 27 :18

19 Na alaaniwe apotoaye hukumu ya mgeni, na yatima, na mjane aliyefiliwa na mumewe. Na watu wote waseme, Amina.
Kumbukumbu la Torati 27 :19

20 Na alaaniwe alalaye na mke wa baba yake, kwa kuwa amefunua mavazi ya babaye. Na watu wote waseme, Amina.
Kumbukumbu la Torati 27 :20

21 Na alaaniwe alalaye na mnyama wa aina yo yote. Na watu wote waseme, Amina.
Kumbukumbu la Torati 27 :21

22 Na alaaniwe alalaye na umbu lake, binti ya babaye, au binti ya mamaye. Na watu wote waseme, Amina.
Kumbukumbu la Torati 27 :22

23 Na alaaniwe alalaye na mkwewe, mamaye mkewe. Na watu wote waseme, Amina.
Kumbukumbu la Torati 27 :23

24 Na alaaniwe ampigaye mwenzake kwa siri. Na watu wote waseme Amina.
Kumbukumbu la Torati 27 :24

25 Na alaaniwe atwaaye ujira wa kumwua asiye makosa. Na watu wote waseme, Amina.
Kumbukumbu la Torati 27 :25

26 Na alaaniwe asiyeyaweka imara maneno ya torati hii kwa kuyafanya. Na watu wote waseme, Amina.
Kumbukumbu la Torati 27 :26
 

Samboko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2011
Messages
4,620
Points
2,000

Samboko

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2011
4,620 2,000
Hua najiuliza kama duniani walianza Adam na Hawa tuu, hawakulana watoto wao hadi kizazi kukua?
Alieneza hili katazo Mungu anamuona......
 

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
28,648
Points
2,000

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
28,648 2,000
Ina ukakasi lakini haina laana kivile la sivyo wahindi wangekwisha wote....
BTW kwenye Biblia takatifu kuna kisa cha Lutu kulala na binti zake..... Kuna ujumbe mkubwa sana pale

NB: mimi Sina hizo tabia na siungi mkono
Mkuu mshana..
Mm niko na uhusiano wa mapenz na mtoto wa binaam yangu mwanamke, she real love me, yaan ananipenda mno huyu bint je kuna ubaya..?
 

Christine1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
12,990
Points
2,000

Christine1

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
12,990 2,000
Watoto wa adam wao walikuwa na maagano gani???
Unaelewa tofauti ya agano la kale na jipya?

Yaliyofanyika agano la1 ambayo yalikuwa sahihi kwa kipindi chao lkn si sahihi kwa wakati huu,unaelewa?

Swali lako ni sawa na hili
Suleimani alioa wake wengi na haikua kosa, lkn ss mkristo harusiwi kuoa zaidi ya mke 1!

Kumbuka hakuna kosa kama hakuna sheria!
 

NaughtyGuy

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2017
Messages
1,755
Points
2,000

NaughtyGuy

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2017
1,755 2,000
Unaelewa tofauti ya agano la kale na jipya?

Yaliyofanyika agano la1 ambayo yalikuwa sahihi kwa kipindi chao lkn si sahihi kwa wakati huu,unaelewa?

Swali lako ni sawa na hili
Suleimani alioa wake wengi na haikua kosa, lkn ss mkristo harusiwi kuoa zaidi ya mke 1!

Kumbuka hakuna kosa kama hakuna sheria!
Basi agano la 1 tungelifunga lisingekuwa na maana!!tungekeletewa biblia ya agano la 2.
Na ndio maana bado tunatumia amri 10 za Musa. Ingawa alipewa awapelekee Wana wa israel.
Au kuna vya kuchagua na kunyofoa agano la kale kwa tunavyovipenda tu.
 

Christine1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
12,990
Points
2,000

Christine1

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
12,990 2,000
Basi agano la 1 tungelifunga lisingekuwa na maana!!tungekeletewa biblia ya agano la 2.
Na ndio maana bado tunatumia amri 10 za Musa. Ingawa alipewa awapelekee Wana wa israel.
Au kuna vya kuchagua na kunyofoa agano la kale kwa tunavyovipenda tu.
Yesu hakuja kutangua torati bali kutimiliza ...unaelewa maana ya hii sentensi?!
Kukamilisha,kuweka sawa .....

Halitakiwi kufungwa sbb bado kuna vitu vya kujifunza humu ndo maana bado tunatumia!

Tutaingia kwny somo jingine hapa....ngoja niishie hapa!
 

Forum statistics

Threads 1,389,933
Members 528,059
Posts 34,039,082
Top