Recent content by babusuma

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JKIA has achieved Category One status that allows for direct flights to USA

    Hongera sana Kenya hata sisi Wa- Tz na EAC kwa ujumla tutanufaika tutaachana na safari za kuungaunga.Keep on our neighbours.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu Mlima Kilimanjaro

    Umebugi: Kyaro ni safari kwa Kichaga
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mna nini na simu zenu?

    Ulipaswa kuomba kuongezewa salio siyo kuparamia simu ya mwenzako kumbuka ni yake siyo ya kwako
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ajira zilizositishwa zinataka kumuua mtoto wangu na BP

    Hakuna mahali aliposema ajira imesitishwa mwezi wa saba 2017 kama ninajua kusoma.
  5. B

    JamiiForums Tanzania USHAHIDI: Mikoa ya Kaskazini inapendelewa kwa makusudi na serikali

    Kwa taarifa yako barabara lnayotumika hadi leo ya Moshi/Arusha ilijengwa mwaka 1952 na Mwingereza.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais, je umetusahau watumishi wa umma?

    LAPF sina uhakika lakini PSPF waliostaafu Juni 2016 hawajalipwa hadi sasa
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Demu wangu katoa namba yangu ya simu kwa bwanake ili anifuatilie

    Hii kali ya funga mwaka
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais, je umetusahau watumishi wa umma?

    4.Mafao kwa wastaafu wa Mfuko wa PSPF waliostaafu takriban miezi 6 iliyopita
  9. B

    JamiiForums Tanzania Umri wa kustaafu: Uwe miaka 55 lazima na 50 hiari

    Kama suala la Utumishi wa Umma kuwa wa vijana basi ungeshauri miaka 40 kwa hiari na miaka 45 kwa lazima kwani mtu wa miaka 50_55 siyo kijana
  10. B

    JamiiForums Tanzania Je mafuta haya yanatumika kwa kazi zipi ?

    Oliver oil au Olive oil (Mafuta ya Mzeituni)
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kama hukusoma shule hizi kongwe, wewe ni mmoja wa vilaza mliopo hai

    Ifunda Tech. School 1972. Dar Tech. College 1976.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Haya sasa tuufunge mwaka 2016 kwa wana jf kufahamiana hapa!

    Hupati mtu hapa wewe!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Simu yangu ina tatizo la kuhifadhi picha

    Werrason; Umecheka lakini Tecno C8 kama ipo kwenye Standby Intelligent Power Saving ikiwa na 4% charge inazima apps karibu zote ninaitumia sasa ni miezi 9.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Simu yangu ina tatizo la kuhifadhi picha

    Haina charge ya kutosha
Back
Top Bottom