Mheshimiwa Rais, je umetusahau watumishi wa umma?

The Hyper

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,131
2,000
Ndg mheshimiwa Rais:

Naandika haya nikijua fika vyama vya wafanyakazi havina msaada wowote katika kutetea maslahi ya Watumishi.
Mheshimiwa Rais,
Je,
1.Ni lini serikali yako itapandisha madaraja watumishi wa umma?
2.Ni lini serikali yako itaweka nyongeza ya mshahara kwa watumishi?
3.Ni lini utaruhusu uhamisho kwa watumishi wa umma?

Haya ni motisha kwa wafanyakazi.
Kama pesa hakuna,
Serikali iseme itaeleweka.
Pia issue ya uhamisho haihitaji pesa Mh Rais, kwa nini usiruhusu?
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
11,748

umeshauriwa [HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG] .

swali lingine??
 
Mambaku

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
466
250
Ndg mheshimiwa Rais:

Naandika haya nikijua fika vyama vya wafanyakazi havina msaada wowote katika kutetea maslahi ya Watumishi.
Mheshimiwa Rais,
Je,
1.Ni lini serikali yako itapandisha madaraja watumishi wa umma?
2.Ni lini serikali yako itaweka nyongeza ya mshahara kwa watumishi?
3.Ni lini utaruhusu uhamisho kwa watumishi wa umma?

Haya ni motisha kwa wafanyakazi.
Kama pesa hakuna,
Serikali iseme itaeleweka.
Pia issue ya uhamisho haihitaji pesa Mh Rais, kwa nini usiruhusu?
Acha kuleta hoja za kipuuzi. Hivi wewe ni mtumishi wa umma kweli. Unajua taratibu za promotion. Hebu tuambie ulijaza opras lini? Pia unajua taratibu za kudai maslahi yako. Ukijua hayo utatambua wewe sio mtumishi wa umma. Acheni kuzungumzia vitu msivyovijua. Unadai uhamisho hizi taratibu za uhamisho unazijua ama unalalama tu. Acheni siasa ongeeni uhalisia
 
mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
23,039

Siku ukiwa tayari niambie nikupeleke magogoni.ukatoe dukuduku lako.
 
chipa GM

JF-Expert Member
Jan 21, 2012
1,633
2,000
Kosa walilloanya viongozi wa zamani ni kutoweka usawa wa mishahaara. Haiwezekani afisa utawala wa TBS apewe mshahara ambao ni Mara tano ya mshahara wa afisa wa utawala wa wizara ya viwanda. Hiyo inaondoa morale kwa watumishi wa umma.
 
Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
14,021
2,000
Acha kuleta hoja za kipuuzi. Hivi wewe ni mtumishi wa umma kweli. Unajua taratibu za promotion. Hebu tuambie ulijaza opras lini? Pia unajua taratibu za kudai maslahi yako. Ukijua hayo utatambua wewe sio mtumishi wa umma. Acheni kuzungumzia vitu msivyovijua. Unadai uhamisho hizi taratibu za uhamisho unazijua ama unalalama tu. Acheni siasa ongeeni uhalisia
Stop ur natural arrogance..

1: Ajira zimesimamishwa

2: Promotion zimesimamishwa hata ukijaza opras na taratibu zote ziko wazi, no promotion

3: No tranfers..

4: No salary increments..

Ww unajua utaratibu upi..? wakati vyote hivyo vimesimamishwa..? unajidai unajua sana keng.e wee, nothing you know, kutetea ujinga tu, hizo hoja za kipuuzi..? mpuuzi ndio ww.. chicken droppings
 
The Hyper

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,131
2,000
Acha kuleta hoja za kipuuzi. Hivi wewe ni mtumishi wa umma kweli. Unajua taratibu za promotion. Hebu tuambie ulijaza opras lini? Pia unajua taratibu za kudai maslahi yako. Ukijua hayo utatambua wewe sio mtumishi wa umma. Acheni kuzungumzia vitu msivyovijua. Unadai uhamisho hizi taratibu za uhamisho unazijua ama unalalama tu. Acheni siasa ongeeni uhalisia

Nimekupuuza,sitakujibu.
 
DAFU NA NDIMU

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
3,456
2,000
Acha kuleta hoja za kipuuzi. Hivi wewe ni mtumishi wa umma kweli. Unajua taratibu za promotion. Hebu tuambie ulijaza opras lini? Pia unajua taratibu za kudai maslahi yako. Ukijua hayo utatambua wewe sio mtumishi wa umma. Acheni kuzungumzia vitu msivyovijua. Unadai uhamisho hizi taratibu za uhamisho unazijua ama unalalama tu. Acheni siasa ongeeni uhalisia
We utakuwa mfanyakazi hewa.
 
The Hyper

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,131
2,000
Kosa walilloanya viongozi wa zamani ni kutoweka usawa wa mishahaara. Haiwezekani afisa utawala wa TBS apewe mshahara ambao ni Mara tano ya mshahara wa afisa wa utawala wa wizara ya viwanda. Hiyo inaondoa morale kwa watumishi wa umma.
Kweli mkuu,hilo ni tatizo,lakini serikali isiendelee kufanya makosa,kauli ya serikali tu inatosha kuliko kuishi kwa matazamio yasiyo na tija.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom