Recent content by babululu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Msaada mashine ya kuchapisha vitabu

    Mashine nzuri ni offset printing machine ndiyo zenye nguvu ya kufanya shunguli hiyo makampuni yapo mengi kama hielberg ya ujeruman,hamada ya kijapan,za kichina ambazo ni cheap unaweza nunua mpya kwa bei ya mtumba wa ujeruman pia inategemea ukubwa he inahitaji single head,double head, four head...
  2. B

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. John Magufuli halisi usiyemjua na yule unayemjua kupitia CCM! Ni HATARI kwa Taifa!

    Hivi wewe una akili jadili hoja,tafakari, chambua kisha sema neno acha jaziba utendaji unauona wewe
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ushabiki kumpamba Lowassa leo: Ujinga halisi wa Watanzania au laana ya fedha?

    lowassa si mtakatifu sana ila nauliza is it better magufuli kutumiwa na magamba ya ccm kufanya ccm safi huku huko ndani tuna kina ngeleja,rizone na malaji kemkem ccm ni ileile ila inataka kujisafisha kwamgongo wa mtu mmoja huku imeoza
  4. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli aagiza wanafunzi wasafiri bure

    serekali ya magamba majizi makubwa hawana jipya hao
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Tayari nimeshatoa maamuzi

    mmmh sidhani kama una akili nzuri
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hivi JF kuna wife material kweli?

    We huna akili kabisa mpaka binti aje hujf awe na member unamfikiriaje huyo kaoe ngoreme huko
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wazazi hawataki nioe Mchaga

    wa kml hawaridhiki, ww Umeridhika una nini?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wazazi hawataki nioe Mchaga

    Wachaga si wabaya hivyo ila wako serious na maisha unakuta kuliko hata hao waume zao,ni watafutaji mno, ila tatizo linakuja kwa wazamiaji kwenye familia za watu wanotaka kuzeekea kwa watu, kupewa mitaji kwa watu, kushindia kwa watu,kupikiwa kwa watu eti ni mashemeji mara mawifi mlikuwa wapi saa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hataki kabisa mazoea na dada wa kazi

    Inawezekana ashakufuma mara kadha unakula hao wadada ndo maana hana imani nawe au ushafumwa unacheat
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwa waliotayari kuoa/kuolewa na wale walioingia humo tayari

    Kama vile ulikuwepo hapa kwangu nipo ya nne naingia ya tano
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ikiwa una tatizo la figo kushindwa kufanya kazi

    please wasilina kupitia email jombaanetcafe@gmail.com
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tabia hizi katika Supermarkets zinaboa

    tatizo kubwa liko kwenye bank kuu yetu ambayo haitoi sarafu za kutosha kwenye mzunguko, mimi ni mfanyabiashara ya secreatrial ambayo inahusisha photocopy bei 100 kwa karatasi nimeshazunguka benki zote ikiwemo nmb kuomba sarafu huwa wanajibu hawaletewi sarafu siku hizi hivyo inabidii kununua...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ikiwa una tatizo la figo kushindwa kufanya kazi

    Namba ya cm mkuu
Back
Top Bottom