upupu
JF-Expert Member
- Apr 15, 2008
- 614
- 198
Wandugu, naombeni msaada, nafikiria biashara ya uchapaji hasa vitabu, ila sijui mashine za uchapaji zinakuwaje na bei zake ni kiasi gani!! Na wapi nitaweza kuzipata, na materials, mfano karatasi, wino na kadhalika
Mwenye uelewa wa mambo haya anifahamishe.
Mwenye uelewa wa mambo haya anifahamishe.