Ushabiki kumpamba Lowassa leo: Ujinga halisi wa Watanzania au laana ya fedha?

Siamini! siamini! siamini!
Ushabiki huu ulipoanza nilidhani kejeli.

Sikudhania itafika siku watokee watu wa kumkweza Lowasa kufikia hatua ya kuanza kampeni za kumtafutia urais

Great Post !! Tarehe 6/1/2011. Anyway, meseems this is a done deal. He's unstoppable now
 
Sifa zote apewe huyo Lowasa lakini hili la urais wetu watanzania HAPANA amepoteza sifa. Anahusika na ufisadi wa EPA kupata pesa za kumpigia kampeni swahiba wake, dowan anahusika pia, mvua ya thailand nao ulikuwa ni wizi tu hafai hatufai

Tangu nimesikia Lowasa anataka Uraisi wa nchi sijawahi kumsikia atawafanyia nn watanzania zaidi ya kila siku anajisifia kuwa na maamuzi magumu hata mm sitompatia kura yangu kwani hana jipya zaidi ya kuutaka uongozi maana amekaa katika sirikari ya ccm tangu utoto mpaka leo hivyo na yy ni chanzo cha mfumo mbaya ingawa jana nilimsikia anamlaumu mwenzake kuwa hamearibu uchumi wa nchi. nu upumbavu mtupu kwani yeye ni mmoja wao.
adanganye wengine
 
punguza jazba, tulia na jikaze najua unaumia sana. kama ulimfuatilia Lowassa japo jana tu, alitamka kwamba hawezi sema kilicho ndani ya ilani kwa sababu kampen bado muda wake,itakuwa ni kinyume cha sheria.na ujue kuwa atakachowafanyia watz kimo ndani ya ilani hiyo subiri. ama unataka awe kama pombe ambae kshaanza kampen kinyume cha sheria. kwa Mungu ni haki tupu. besides kwa tulio na muono wa kujiongeza tunajua umuhimu wa lowassa kuongoza nchi hii. kwa wewe unayesubiri kutafsiriwa nini atafanya ngoja ilani. sasa hap0 sjui upumbavu uko kwa nani hapo?
 
Laana mbaya ni kuishabikia ccm kama zuzu kutokana na kupewa vitisheti kanga na kofia .Lowasa ni kiongozi anayetakiwa sasa.tumechoshwa na maigizo ys ccm.
Lowasa mbona naye ni ccm B au unajitoa akili?
 
TB Joshua's miracles at work there is nothing to this little man lowasa only satanic power of publication.
 
kama ni mwizi kweli apelekwe mahakamani, kama huna uhakika na unachokisema kimya inakufaaa zaidi...no research no right to speak..my president is edo the don.
 
Laana mbaya ni kuishabikia ccm kama zuzu kutokana na kupewa vitisheti kanga na kofia .Lowasa ni kiongozi anayetakiwa sasa.tumechoshwa na maigizo ys ccm.
Lowasa mbona naye ni ccm B au unajitoa smiling?
 
lowassa si mtakatifu sana ila nauliza is it better magufuli kutumiwa na magamba ya ccm kufanya ccm safi huku huko ndani tuna kina ngeleja,rizone na malaji kemkem ccm ni ileile ila inataka kujisafisha kwamgongo wa mtu mmoja huku imeoza
 
kma hammtak lowasa ni heli mnywe sum maana siku akitangazwa nshind mtaumia zaid!sasa mnaonaje mkikabugia tu kasumu mapema!.
 
kma hammtak lowasa ni heli mnywe sum maana siku akitangazwa nshind mtaumia zaid!sasa mnaonaje mkikabugia tu kasumu mapema!.

hiv na wewe utajisikiaje cku magufur akitangazwa ndio Rais wa nchi hii.....unaonaje ukabugia sumu mapema ili usiwepo kabisa kwenye ulimwengu huu wa msuto?
 
Lazima kumpamba anae pambika na fuata nyuki ule asali.. Lowasa ni nyuki na pia El ni bwana harusi mwema na harusi yake itafana sanaa
 
Tunajichimbia kaburi sisi wenyewe kwa kumshobokea huyo jamaa. Halaf matatizo yakitutokea tunabaki kulia lia - eti sisi bado maskini kwasababu tulitawaliwa na mkoloni, tulipelekwa utumwani, na wengine humkufuru Mungu kwa kudai Mungu hawapend watu weusi. Sio hvo. Sisi wenyewe hatujui kuchagua viongozi. Tunaonyeshwa mapungufu yao lakini tunafumba macho. Tunaambiwa mapungufu yao lakin tunaziba masikio.
 
Mtanzania ukimwambia Hebu angalia historia mbaya ya lowasa tangia zaman anakwambia hayo ni mambo ya kawaida Mungu ndo amemuumba hvo.

Sasa akiwa na hayo mapungufu atatufikishaje tunakotaka kwenda?

Amkeni. Oneni. Sikieni. Nuseni. Chagua magufuli
 
Ushabiki kwa Lowasa ni UJINGA uliokithiri wa Watanzania. Ni kweli kuna wanaohongwa pesa, ila hao ni wachache. Hawazidi 2000. Wengine wooote, upumbavu tu
 
Back
Top Bottom