Mrejesho: Tayari nimeshatoa maamuzi

Mrejesho: Tayari nimeshatoa maamuzi

Hakuna cha kujutia hapo...
kama wa kwanza ambaye ndiye muhusika alishakubali na akasamehe, wewe songa mbele na wa pili.. hizi lawama na laana za hapa JF hazina maana yoyote.. zinaweza kukutia hofu tu ukizitilia maanani...
Hizo personality za kuogopa kufanya maamuzi magumu ndo tunazipinga nchi hii..
Congrats for being a MAN, remain so.

Ahsante mkuu bila shaka saivi niko na Amani.
 
Samahani mkuu ungekuwa wewe ungefanyaje,
Tuanzie hapo maana mimi mawazo yangu yameishia kwenye maamuzi hayo.
Mimi ningesamehe tu na kuheshimu hisia zake.
Kwanza ni kuavoid kuwa na relationship na watu wawili simultaneously. Ila vile imeshatokea, then sio lazima kila mtu ulienae kwenye relationship umpe hopes za kuoana. Ila vile hujafanya yote hayo, ulikua na option ya kuwambia mmoja kuwa you can't be with her. Ungemfuata peke yako kama gentleman, umwambie, kuliko kumuwekea vikao tena unamkutanisha na mwenzake, daa! Kuna kitu umemuwekea moyoni ambacho ni vigumu saana kukitoa.

Vile vile kumbuka wale ni marafiki, wanaweza kuamua kukupotezea wakaendelea na maisha yao. Unaona huyo mwingine ameshindwa kukupa jibu straight mpaka akafikirie. Sasa anaenda kufikiria nini wakati mmekua wote for more than a year. Inaonesha lazima atakutana na mwenzake wakakujadili kwanza. Sasa hapo jiandae kwa lolote.
 
Ahsante mkuu...imeshatokea (Maji yameshamwagika)
Ngoja tuone atakacho amua kwangu nimeshajiandaa kwa lolote atakaloamua.
 
Ni kweli mkuu wake ni wachache kuliko wanawake,lakini hawa walikuwa wote ni ma wife material hata ungekuwa wewe isingekuwa rahisi kuwapoteza,
Naomba sana asinikatae maana itaniweka kwenye wakati mgumu mno.

Ninaomba Mungu sana akuacha ili upate uchungu alioupata msichana wa kwanza
 
What a man! Yaani ilibidi uwaite wote wawili ndo utoe maamuzi? Uneitwa wewe na mume mwenzio kisha ukaibuka wewe kidedea ingejisikiaje? Uwiiii mbuuuuraaaa!

Mbona hii kama hadithi??
 
I just hope ni series ya hadithi tu...I really do hope so!
 
Back
Top Bottom