Recent content by Babuji

  1. B

    JamiiForums Tanzania SALE - Laptop za HP i5 Processor 500GB HDD na 4GB RAM

    Updated
  2. B

    JamiiForums Tanzania SALE - Laptop za HP i5 Processor 500GB HDD na 4GB RAM

    Inakaa na chaja zaidi ya masaa mawili Laptop na chaja yake original toka Uingereza
  3. B

    JamiiForums Tanzania SALE - Laptop za HP i5 Processor 500GB HDD na 4GB RAM

    Kiroroma Napatikana namba hii 0712409641
  4. B

    JamiiForums Tanzania SALE - Laptop za HP i5 Processor 500GB HDD na 4GB RAM

    Ninauza laptop za Hp Probook i5 Processor Original toka Uingereza Hazina matatizo yeyote Hazina michubuko Hard drive: 500GB RAM: 4GB Zipo kwenye hali nzuri sana Zina Windows 7, MS Office na Antivirus tayari kutumika Bei chee 700,000/- Punguzo la bei linawezekana, karibu tufanye biashara...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Buriani Abuu Semhando a.k.a Baba Diana

    Abuu Semhando mwanamuziki nyota wa bendi ya African Stars Twanga Pepeta hatunaye tena baada ya kugongwa na gari wakati akiendesha pikipiki kwenye majira ya saa kumi usiku. Umauti ulimkuta Semhando wakati akijerea nyumbani kwake akitokea kazini ambapo bendi ya Twanga Pepeta ilikuwa ikifanya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Anyimwa 'Tigo' Ajaribu Kuua

    Nguli utakuwa na matatizo kidogo kama utaendelea kufikiria kama unavyomaanisha kwa kuhighlight jina la huyo mshtakiwa
  7. B

    JamiiForums Tanzania Anyimwa 'Tigo' Ajaribu Kuua

    OMARI Mohamed (22), mkazi wa Yombo jijini Dar es Salaam, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Temeke kujibu, shtaka la kutaka kumuua msichana baada ya kukataa kumwingilia kinyume na maumbile. Akisoma hati ya mashitaka, Inspekta Isaya Mwanga mbele ya Hakimu Aziza Kalili wa mahakama hiyo...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Pombe za Krismasi

    Picha zaidi gonga hapa http://www.nifahamishe.com/album_preview.aspx?AlbumId=667579
  9. B

    JamiiForums Tanzania 4000 waambukizwa Ukimwi Kinondoni ndani ya miezi mitatu

    IMEDAIWA kuwa ndani ya miezi mitatu kati ya Julai hadi Septemba mwaka huu watu wapatao 4072 wameambukizwa virusi vya ukimwi katika Manispaa ya Kionodnoni jijini Dar es Salaam Hayo yalijulikana baada ya kamati ya Kudhibiti Ukimwi katika Manispaa hiyo kutoa takwimu hiyo. Kati ya watu hao, 1,165...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ili Kujua Mtoto Wake Sio Shoga, Amlazimisha Afanye Mapenzi na Kahaba

    Mhh kweli si mchezo mdingi anatest kama mtoto wake si rizki au la
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mbavu za kucheka unazo?

    Picha zaidi Gonga Hapa www.Nifahamishe.com
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kombe la Cecafa Senior Challenge 2009

    Zanzibar Yaibanjua Zambia 4-3, Yatinga Nusu Fainali Timu ya soka ya Zanzibar imefanikiwa kutinga nusu fainali ya kombe la Chalenji linaloendelea nchini Kenya baada ya kuitupa nje ya mashindano timu ya taifa ya Zambia kwa kuilaza kwa magoli 4-3...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Shikilia Mbavu Zako Vizuri..

    Hapo lazima usali sala zote unazozijua na kumuachia mungu yatakayotokea Ukifikiria kwamba bunduki yenyewe ipo mbali karibu na simba alipo mpaka uikaribie ushageuzwa asusa:):):)
  14. B

    JamiiForums Tanzania Shikilia Mbavu Zako Vizuri..

    Picha zaidi Gonga hapa www.Nifahamishe.com
  15. B

    JamiiForums Tanzania Washabiki Wanapomwaga Radhi

    Kwa picha zaidi Gonga Hapa www.nifahamishe.com
Back
Top Bottom