Anyimwa 'Tigo' Ajaribu Kuua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anyimwa 'Tigo' Ajaribu Kuua

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Babuji, Dec 29, 2009.

 1. B

  Babuji Senior Member

  #1
  Dec 29, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  OMARI Mohamed (22), mkazi wa Yombo jijini Dar es Salaam, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Temeke kujibu, shtaka la kutaka kumuua msichana baada ya kukataa kumwingilia kinyume na maumbile.

  Akisoma hati ya mashitaka, Inspekta Isaya Mwanga mbele ya Hakimu Aziza Kalili wa mahakama hiyo alidai kuwa,mshitakiwa alitenda kosa hilo Oktoba 10, mwaka huu katika majira ya saaa 2 usiku huko Yombo Kilakala.

  Alidai baada ya mshitakiwa kumwambia mlalamikaji kuwa alikuwa anahitaji kumwingilia kinyume na maumbile mlalamikaji alikataa kufanyiwa kitendo hicho na ndipo Omari alimchoma kisu cha tumbo, mgongoni na kwenye ubavu jambo ambalo lilimsababishia kuzirai na kupoteza fahamu papohapo.

  Alidai hali hiyo ilimfanya mlalamikaji apoteze fahamu papohapo na kukimbizwana wasamaria wema katika hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu zaidi.

  Mlalamikaji baada ya siku mbili aliweza kupata fahamuna kueleza umma jinsi ilivyokuwa na mshitakiwa kwenda kukamatwa

  Hata hivyo mshtakiwa alipotakiwa kujibu shtaka hilo, alikana na alipelekwa rumande kwa kukosa dhamana, na kesi imeahirishwa hadi Januari 7, mwaka huu itakapotajwa tena.

  Source: www.Nifahamishe.com
   
 2. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135

  I knew it
   
 3. B

  Babuji Senior Member

  #3
  Dec 29, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nguli utakuwa na matatizo kidogo kama utaendelea kufikiria kama unavyomaanisha kwa kuhighlight jina la huyo mshtakiwa
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Haya wapenda tigo kazi kwenu...pole kwa huyu dada aliyekutwa na balaa hili...
   
 5. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hilo mbona liko wazi...
   
 6. I

  Irizar JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2009
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 217
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Duhhhhh kasheshe!!!!!!! yamekuwa hayo tena?!!
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ........wacha bwana!:d
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...IQ ndogo.
   
 9. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mosquito....The fact will always be the fact never will it be an opinion
   
 10. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Unanifurahisha kuwa PAPE kumbukumbu yako kuhusu matukio kama haya iko shapu. Nashangaa watu wananishambulia. Wakizidi nashusha statistic hapa paomja na picha.
   
 11. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,407
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  Hivi kile kitabu hakiwaruhusu kufanya hili...???
   
 12. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ruksa!
   
 13. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #13
  Dec 29, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Unajua unapomtongoza mwanamke yeye anajua unaomba K siyo tigo! Sasa wala tigo mnapotongoza mweleze kabisa kama atakupa na tigo!! akikataa basi mle mbele tu siyo vinginevyo!
   
 14. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #14
  Dec 29, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  mliwa alikuwa na umri gani?
   
 15. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #15
  Dec 29, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Yombo si unajua ni uswazi kule? Si ajabu kukuta katoto chini ya miaka 18 kameshakuwa fuska mbaya! Huyo jamaa huenda aligoma kutoa matunzo ya matumizi ya tigo ndio maana demu alimkatalia...Kidding!
   
 16. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #16
  Dec 29, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135

  Walewale tu!
   
 17. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #17
  Dec 29, 2009
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Inawezekana huyo jamaa anatokea Ireland Kaskazini ambako mapadri wanapowazalilisha watoto kwa kuwaingilia kinyume na jinsia,hata Pope ameliona na amekemea hilo!
   
 18. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #18
  Dec 29, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Matatizo unayo wewe unayepost bandiko bila kujua madhara yake kwa ndg zako hawa.
   
 19. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #19
  Dec 29, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  kuna mambo mengine jamani mweh.....
   
 20. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #20
  Dec 29, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  da.... We jamaa wewe...
  Da
   
Loading...