Maria Roza JF-Expert Member Apr 1, 2009 6,797 1,567 Dec 7, 2009 #3 Duh huyo simba itabidi uongee nae herufi kubwa!
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,701 Dec 7, 2009 #4 Maria Roza said: Duh huyo simba itabidi uongee nae herufi kubwa! Click to expand... Herufi Kubwa!!! Ndio lugha gani hiyo.
Maria Roza said: Duh huyo simba itabidi uongee nae herufi kubwa! Click to expand... Herufi Kubwa!!! Ndio lugha gani hiyo.
Kimbweka JF-Expert Member Jul 16, 2009 8,597 1,683 Dec 7, 2009 #5 Katavi said: Herufi Kubwa!!! Ndio lugha gani hiyo. Click to expand... Lugha ya kubembeleza kaka
kilemi JF-Expert Member Mar 13, 2009 547 107 Dec 7, 2009 #6 Duh! Mungu hamtupi mja wake, wamewindwa sasa zamu ya kuwinda!!
Alamasroad Member Jun 5, 2009 44 0 Dec 7, 2009 #8 Muindwa nae Huwindwa bajameni! Ila kasimba katoto haka mbona hakajai kwenye screen
B Babuji Senior Member Nov 27, 2008 197 3 Dec 7, 2009 Thread starter #9 Hapo lazima usali sala zote unazozijua na kumuachia mungu yatakayotokea Ukifikiria kwamba bunduki yenyewe ipo mbali karibu na simba alipo mpaka uikaribie ushageuzwa asusa
Hapo lazima usali sala zote unazozijua na kumuachia mungu yatakayotokea Ukifikiria kwamba bunduki yenyewe ipo mbali karibu na simba alipo mpaka uikaribie ushageuzwa asusa