Recent content by babu polithii

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Fatma Karume Urais Zanzibar kupitia chadema

    Langu jicho Ila Hakuna jipyaa na msitegemeee Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

    Maharagee Sent using Jamii Forums mobile app
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini matajiri wakubwa hapa Tanzania ni wahindi na waarabu tu?

    Watu weusiii asilimia kubwa tuna roho mbaya ndo mana hatubarikii
  4. B

    JamiiForums Tanzania IKULU, DAR: Rais Magufuli afanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Prof. John L. Thornton

    Ilikua akamate hao aeke ndani mpk hela itokee
  5. B

    JamiiForums Tanzania Juma Duni: TANESCO inaendeshwa kwa rasilimali za Muungano ikiwa ni pamoja na kodi kutoka Zanzibar

    tanesco inawapzidishia bei zanzibar kaangalie matumizi ya mkoa wa dar na ya zanzibar kwa mwezi haiingii akilinii. Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
  6. B

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Madaktari wa Kenya, wawakataa Madaktari wa Tanzania

    wasi wasi wangu ndugu zetu watanzania naona kama usalama wao hautokua mzuri huko nchini kenya.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Neema ya Mafuta na gesi kuifanya Zanzibar kuwa na uchumi imara Afrika Mashariki

    huku kwetu tsh 10000 unapata unit 31,8 huko kwenu nyinyi mnapata uniti ngapii?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Neema ya Mafuta na gesi kuifanya Zanzibar kuwa na uchumi imara Afrika Mashariki

    yani nyie mna roho mbaya sana waambie tanesco deni lao wakate inapokuja misaada kwa ajili ya tanzani percent yetu wazanzibar kateni humo mana tumesubiri miaka mingi hamtupi sasa cc tutaipata kwa tanesco mkiweza zimeni na cc tutazimaa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

    nipe namba yake halafu nimuambie kama unampenda au tupa picha yake na wapi yupo
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mbwa ni mlinzi wa kweli

    kaka hata mm ni mfugaji mwenzio niko zanzibar ila kuwapa mafuzo ndio shidaa nitakutafutaaa.0776450067
  11. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la vyeti feki Daudi Bashite Vs Makonda Paulo

    hahahahahahahahahaaaaaa
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nimenunua bidhaa Zanzibar, bandarini Dar wametaka kodi. Hii imekaaje Jamhuri ya Muungano?

    ndo muyaone watu wakisema mnawambia ..................... kiukweli hao watu hawatambuwi muungano waoooo.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Picha: Masheikh Dar wamuombea dua RC Makonda

    hivi unaweza kumuombea dua mtu ambae haitambui qur an? mashekhe nyiiee!
Back
Top Bottom