Hivi kwanini matajiri wakubwa hapa Tanzania ni wahindi na waarabu tu?

okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,672
2,000
Hello,

Ukiangalia forbes list ya richest people in Tanzania, yani mwafrika yuko mmoja tu (Reginald Mengi), kama sio wawili (ukiongeza Ali Mufuruki). Tena Mufuruki hela zake za mashaka mashaka.

Hata ukiangalia Tanzania millionaires you should know, forbes ilitaja top 10 yoote ni wahindi/waarabu kuanzia mmiliki wa lake oil, hivi hawa wahindi benki zetu pamoja na sisi tunawapendelea sana, waafrika tunalogana wenyewe, au wametuzidi tu tekniki za biashara, coz mwafrika huwez kwenda india, or china utajirikie kule..ni vigumu sana.

So mm naona probably the richest, black person in east and central africa ni reginald mengi tu, hivi vitajiri vingine vya kiafrika vinakokota vumbi.

Hawa wahindi wana technic gani?? au wanatuibia hapa hapa tukiwa tunajiona, u cant make millions of dollars easily kwenye nchi ambayo mmmh lazma ukwepe kodi, uibe etc..heb jaman nipen ufafanuz
 
454

Senior Member
Apr 23, 2017
137
250
Nimeipenda sana hii thread na nikupongeze kwa kufikiria hili mkuu labda niseme ili atakaebahatika aone na ajifunze.

Nimebahatika kukaa karibu na Wahindi mwaka wa tatu sasa kwasababu Shemeji yng aliemuoa dadangu ni Muhindi kwahiyo nimepata kujifunza mengi sana kwa kuwa nipo karibu nao kiukweli hawa watu ni wajanja sana kupita kiasi lakini pia wana malengo sana kwenye biashara tena ya muda mrefu na pia wana nidhamu ya pesa sana nimegundua hakuna watu wabahili kama wahindi tena ni matajiri lkn cha kushangaza ni Wabahili kupita kiasi yaani hawanunui kitu mpaka wakihitaji sana na kama ukimuona Muhindi anaenjoy ujue kashawekeza sana na ana uhakika hatoanguka kibiashara.

Na si kila siku anaenjoy unaweza kukuta ni mara moja kwa mwaka then hawa watu unaowaona leo ni matajiri ujue wamerithi kutoka kwa babu zao walikuja kutoka India hawana kitu walianza biashara ndogondogo then ikawa inakua wakazaa watoto wakawakuta baba zao wameikuza biashara then watoto wataoa then watazaa watoto hao wajukuu watakuta ile biashara imekua kubwa sana imagine tangu ile biashara ianzishwe ni miaka 60 yaani Babu alianzisha mjukuu anaikuta biashara kubwa kwahiyo hapati tabu kuiendeleza.

Unajua ndugu wana JF ugumu ni kuanza kuikuza biashara lakini ikifika hatua fulani ni rahisi sana kutengeneza mamilioni ya Fedha kwa mfano-: Ulianza biashara na milioni 5 baada ya miaka 10 una mtaji wa milioni 200 je kufikisha mtaji milioni 1000 ni ngumu jibu sio ngumu.Kitu kingine nilichokiona hawa watu wanasaidiana sana nimeshuhudia baadhi ya wahindi wanatoka India wanakuja kwa Wahindi wenzao ambao ni matajiri wanawaajiri wanawalipa mshahara mara 10 ya waajiriwa wengine hata kama hawana elimu.Na wanawafundisha watoto wao jinsi ya Kuhandle biashara ili isife lkn Leo utamkuta Mwafrica akifungua biashara tu akaanza kuingiza pesa basi starehe nyingi wanawake anabadilisha kama nguo anadharau ndugu zake matokeo yake biashara inamshinda.

Ndugu wana JF mtu yeyote ambae ni mfanyabiashara tajiri amepitia changamoto nyingi sana lkn hawakukata tamaa na biashara ni somo pana sana.Halafu kitu kingine nilichokiona kwa hawa watu ni Kuishi pamoja babuna bibi watoto wao na wake zao na wajukuu zao wote wanakaa nyumba moja hii pia ni Siri ya mafanikio yao kwanza inapunguza gharama za maisha pili inaleta baraka ndani ya nyumba na hata chakula wanapika pamoja na wanakula meza moja wote wao na wake zao na baba zao na mama zao hata na wajukuu zao ila mabinti wakiolewa huwa wanaondoka kwenda kwa mume.Nimechoka kuandika lkn nina mengi niliyojifunza kupitia hawa watu na naendelea kujifunza kila kukicha kupitia hawa watu coz nipo karibu nao
 
454

Senior Member
Apr 23, 2017
137
250
Kingine ni wao ni watu wa mawazo chanya muda wote hawakatishani tamaa hata mara moja na wanashauriana mazuri na hawafanyi maamuzi mpaka wawashirikishe babu zao au baba zao au wakubwa zao walioanzisha ile biashara ila sisi Waafrica ni kinyume chake

Sent from my HUAWEI Y625-U32 using JamiiForums mobile app
 
hyusuph

JF-Expert Member
Dec 5, 2013
1,655

Hii ni kweli kabisa
 
  • Thanks
Reactions: 454

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
9,688
2,000
Hello,

Ukiangalia forbes list ya richest people in tz, yani mwafrika yuko mmoja tu (Reginald Mengi), kama sio wawili (ukiongeza ali mufuruki). Tena mufuruki hela zake za mashaka mashaka.

Hata ukiangalia tanzania millionaires you should know, forbes ilitaja top 10 yoote ni wahindi/waarabu kuanzia mmiliki wa lake oil, hivi hawa wahindi benki zetu pamoja na sisi tunawapendelea sana, waafrika tunalogana wenyewe, au wametuzidi tu tekniki za biashara, coz mwafrika huwez kwenda india, or china utajirikie kule..ni vigumu sana.

So mm naona probably the richest, black person in east and central africa ni reginald mengi tu, hivi vitajiri vingine vya kiafrika vinakokota vumbi.

Hawa wahindi wana technic gani?? au wanatuibia hapa hapa tukiwa tunajiona, u cant make millions of dollars easily kwenye nchi ambayo mmmh lazma ukwepe kodi, uibe etc..heb jaman nipen ufafanuz
Sio kweli wako watanzania weusi wengi ni matajiri sana,ila utajiri wetu uko kwenye mifugo mashamba makubwa, nyumba na viwanja.Na wengi wanaishi maisha ya kawaida,na wengine wanafukia pesa haweki Benki.Akifa PESA ndio imepoteam
 
okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,672
2,000
Hahahaa kwa hiyo sisi waafrika tunatumbua sana hela, dats why wengi hawaendelei lol 454
 
Jabman

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
1,010
2,000
Weusi kibao ila wamejificha migongoni mwa weupe wanaogopa kufuatiliwa pindi Dili linapotibuka. Wengi wao ni wanasiasa na wanapata Mali isivyo halali.

Pindi wakiachia madaraka wengi wao wanadhulumiwa kwa kuwa anakuwa hana madaraka basi hata kufuatilia inakuwa ngumu.
 
yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,233
2,000
Hello,

Ukiangalia forbes list ya richest people in tz, yani mwafrika yuko mmoja tu (Reginald Mengi), kama sio wawili (ukiongeza ali mufuruki). Tena mufuruki hela zake za mashaka mashaka.

Hata ukiangalia tanzania millionaires you should know, forbes ilitaja top 10 yoote ni wahindi/waarabu kuanzia mmiliki wa lake oil, hivi hawa wahindi benki zetu pamoja na sisi tunawapendelea sana, waafrika tunalogana wenyewe, au wametuzidi tu tekniki za biashara, coz mwafrika huwez kwenda india, or china utajirikie kule..ni vigumu sana.

So mm naona probably the richest, black person in east and central africa ni reginald mengi tu, hivi vitajiri vingine vya kiafrika vinakokota vumbi.

Hawa wahindi wana technic gani?? au wanatuibia hapa hapa tukiwa tunajiona, u cant make millions of dollars easily kwenye nchi ambayo mmmh lazma ukwepe kodi, uibe etc..heb jaman nipen ufafanuz
Weusi wanakimbilia siasa mbaya zaidi wana kuwa wana siasa uchwara wachumia tumbo
 
pleo

JF-Expert Member
Jun 20, 2013
2,831
2,000
Hello,

Ukiangalia forbes list ya richest people in tz, yani mwafrika yuko mmoja tu (Reginald Mengi), kama sio wawili (ukiongeza ali mufuruki). Tena mufuruki hela zake za mashaka mashaka.

Hata ukiangalia tanzania millionaires you should know, forbes ilitaja top 10 yoote ni wahindi/waarabu kuanzia mmiliki wa lake oil, hivi hawa wahindi benki zetu pamoja na sisi tunawapendelea sana, waafrika tunalogana wenyewe, au wametuzidi tu tekniki za biashara, coz mwafrika huwez kwenda india, or china utajirikie kule..ni vigumu sana.

So mm naona probably the richest, black person in east and central africa ni reginald mengi tu, hivi vitajiri vingine vya kiafrika vinakokota vumbi.

Hawa wahindi wana technic gani?? au wanatuibia hapa hapa tukiwa tunajiona, u cant make millions of dollars easily kwenye nchi ambayo mmmh lazma ukwepe kodi, uibe etc..heb jaman nipen ufafanuz
Wahindi waliozaliwa mtwara na waarabu wa rukwa.......
 
ChiefmTz

JF-Expert Member
Apr 15, 2008
2,849
2,000
Hello,

Ukiangalia forbes list ya richest people in tz, yani mwafrika yuko mmoja tu (Reginald Mengi), kama sio wawili (ukiongeza ali mufuruki). Tena mufuruki hela zake za mashaka mashaka.

Hata ukiangalia tanzania millionaires you should know, forbes ilitaja top 10 yoote ni wahindi/waarabu kuanzia mmiliki wa lake oil, hivi hawa wahindi benki zetu pamoja na sisi tunawapendelea sana, waafrika tunalogana wenyewe, au wametuzidi tu tekniki za biashara, coz mwafrika huwez kwenda india, or china utajirikie kule..ni vigumu sana.

So mm naona probably the richest, black person in east and central africa ni reginald mengi tu, hivi vitajiri vingine vya kiafrika vinakokota vumbi.

Hawa wahindi wana technic gani?? au wanatuibia hapa hapa tukiwa tunajiona, u cant make millions of dollars easily kwenye nchi ambayo mmmh lazma ukwepe kodi, uibe etc..heb jaman nipen ufafanuz
Muulize Baba yako. Mbona Moshi wapo matajiri ambao sio weupe? BTW huo ni ubaguzi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom