Recent content by babu makiro

  1. babu makiro

    B.Fernandes: Mtanzania aliyekataa mshahara wa Mil 425 marekani arejea Tz

    kinondoni mkuu hatua chache jirani kabisa na the governor Sent from my SM-G313H using JamiiForums mobile app
  2. babu makiro

    Kitendo cha Waarabu kumuona Iran ni adui badala ya Israel kinanisikitisha sana

    hawana ukarimu wowote mkuu..nimefika katika baadhi ya nchi zao hakuna ukarimu walionao labda unambie dubai atleast wako vizuri na hii ni kutokana na muingiliano mkubwa na wageni.. Sent from my SM-G313H using JamiiForums mobile app
  3. babu makiro

    Shigongo amvaa Tundu Lissu

    huyu si ndo ambaye alikuwa anakidai chama cha makinikia na kila kila akifika pale lumumba anaambiwa kunywa maji mwanangu.....
  4. babu makiro

    Rais Magufuli akitaka tumuunge mkono afanye haya, kinyume na hapo kamwe hatuungi mkono porojo

    kweli mkuu mi ningeona ana akili kama angeanza kuweka wazi mikataba ya ununuzi wa ndege bombadier, ujenzi wa flyovers na reli...sio kuleta longongo za kipuuzi
  5. babu makiro

    ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

    eti anauliza nani alietuloga..???.huyu rais vipi ilitakiwa ajiulize na awaulize ccm wenzake nani aliewaroga wao akiwepo na yeye mana wao ndo walipitisha hii mikataba yote halafu anajifanya anashangaa.ccm ni janga baya sana
  6. babu makiro

    ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

    eti anauliza nani alietuloga...huyu jamaa bana ilitakiwa aulize nani aliewaroga ccm mana wakati wanapitisha hii mikataba yot
  7. babu makiro

    Kitendo cha Waarabu kumuona Iran ni adui badala ya Israel kinanisikitisha sana

    toka lini mwarabu akawa na akili...hawa watu vichwani ni empty..machicha kabisaa
  8. babu makiro

    Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

    mkuu tecno C8 unayo....na bei yake ni sh ngapi
  9. babu makiro

    Mabilionea Kanda ya Kati ni shida

    jamaa ana utani kweli kweli boss ngasa bilionea...??? sijawahi kuona bilionea anatembelea pikipiki SAN LG
  10. babu makiro

    Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    ninahitaji display ya Samsung Galaxy Note 2 iliyo katika hali nzuri...mwenye nayo anicheki tufanye biashara.nipo dsm
  11. babu makiro

    Polepole: Walitaka kumhonga Rais Magufuli Sh. Bilioni 300 ili asifanyie kazi taarifa ya mchanga

    huu ni uongo na unafiki wa hali ya juu kabisa..ccm acheni kiki za kitoto
  12. babu makiro

    RC wa Kilimanjaro, Meck Sadiki na Majaji wawili Wajiuzulu. Rais Magufuli aridhia...

    huu sio utamaduni wa mtanzania lazima kuna tatizo mahali...
  13. babu makiro

    RC wa Kilimanjaro, Meck Sadiki na Majaji wawili Wajiuzulu. Rais Magufuli aridhia...

    huu sio utamaduni wa mtanzania lazima kuna tatizo mahali...
  14. babu makiro

    Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

    messi kile ni kipaji, ronaldo jitihada
  15. babu makiro

    Raila Odinga anatuhumiwa kufungua tallying centre nchini Tanzania yenye nia "ovu"

    unabisha nini mkuu...liko wazi hili magufuli ana muunga mkono raila
Back
Top Bottom