G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,596
- 36,018
Serikali ya Kenya inamtuhumu kiongozi mkuu wa upinzani nchini humo ndugu Raila Odinga kuwa amefungua tallying centre nchini Tanzania kwa ajili ya uchaguzi mkuu baadaye mwaka huu ambapo imeelezwa kuwa tallying centre hiyo ni kwa ajili ya kuvuruga uchaguzi mkuu nchini humo.
Raila anatuhumiwa kuwa ametumia kiasi cha shilingi za Kenya milioni kumi (zaidi ya shilingi milioni miambili za Tanzaniza) kufungua centre hiyo.
Madai hayo yaliyotolewa na kiongozi wa shughuli za serikali katika bunge la Kenya mbele ya rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo yanaendeleza wimbi la uhusiano wa mashaka kati ya rais Kenyatta na rais John Magufuli wa Tanzania.
Kiongozi huyo wa shughuli za serikali katika bunge la Kenya amesema kuwa wao kama serikali wamefuatilia dhumuni la tallying centre hiyo na kubaini kuwa ina lengo la kuvuruga system ya IEBC (hacking) ili kutoa matokeo yatakayoweza kumpa ushindi Raila.
Rais Magufuli amekuwa akimuunga mkono kwa waziwazi Raila Odinga huku akiwapa angalizo wakenya kuwa kama wanataka kiongozi bora basi wampe nafasi Raila ambaye ni rafiki wa karibu sana wa rais Magufuli.