Recent content by babrau

  1. B

    Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Nataka utoe ushahidi WA hao waliofanya hizo Project hizo majina yao. Ukiwa hujafanya research huna haki ya kusema. Tqfadhali chunga mdomo wako kama huna la kusema. Hebu wewe fanya project moja tu ya kuandika hata Aya moja inayofanana na aya katika Qur'ani takatifu ili uweze Ku prove unachokisema.
  2. B

    Nocking him hard: Taarifa ya Cyprian Musiba dhidi ya Tundu Lissu

    Kweli hawa wanataka kick. Mashtaka gani hata? Na pengine hawa ndio wanaomuharibia Mheshimiwa hata kwa kujidai kutaka kumuongezea muda WA kukaa madarakani kwa kipindi cha miaka saba kinyume cha katiba.Mungu awashinde kabisa.Amin.
  3. B

    Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

    Tunasubiri tuone ataongea mini, na Tanzania itapokeaje mazungumzo hayo. Isiwe sawa na kumpigia mbuzi kengele.
  4. B

    Lowassa aweke hadharani yote waliyoyazungumza Ikulu

    Jazba haijengi lolote la msingi no kuchukua hadhari na viongozi hawa. Kuna wengi wamevua magwanda Sasa hivi wanamuomba Mheshimiwa awapangie nafasi za kazi wakati huku kwetu tuliwapa nafasi kubwa na ofisi wameondoka. Huyu Mzee ana hamu ya kuingia ikulu japo li SAA moja na nusu na amefanya hivyo...
  5. B

    Tafakari baada ya Kuvunjwa Msikiti wa Kimara Mwisho

    Kwake maendeleo ni kuwa na barabara ambazo hazina kona yoyote zimenyoka sawasawa viongozi waliotangulia hawakuliona hilo. Hapa kazi tu hakuna kulala wala ibada.
  6. B

    Hivi kama uko na mtu na huna malengo nae ila mna enjoy na kupendana,ni hak umwambie au ukae tuu kimya?ukisema utamuumiza

    Hata wa ulaya akirudi nae atakumwaga ameshapata habari zako kwamba unalelewa na sugarmamy.Huna jipya bushoke.Hushauriki.
  7. B

    CHADEMA wana bahati sana, walikuwa wanaumaliza mwaka 2017 kimyaa, Askofu Kakobe kawaokoa

    Ukweli unauma mbona mwenyewe haongei? Inakuwaje? Nafikiri anatafakari ameteleza wapi? Lakini LA msingi tunaomba alitoe kifungoni Binge, Magazeti,na Vyama vya siasa kunadi Sera zao.Tafadhali mheshimiwa TUBU!?!
  8. B

    Pamoja na kwamba mimi ni Certified Player sijawahi kununua wanawake wanaojiuza barabarani.

    Sio kweli hao unaokula ndio hao hao ila hawjafika tu ila walikuwa wanaelekea barabarani.
  9. B

    CHADEMA kwanini inatetea kila mtu anayetumbuliwa?

    Wewe unathubutuje kumuita Lowasa mwizi ? Hivi hii chuki ya aina gani uliyonayo? Wewe kweli in mtanzania au mkabila mkubwa wewe.MTU anakuwa hana kosa mpaka ithibitike mahakamani. Acha propaganda zako kwenye JF.
  10. B

    Humphrey Polepole: Tusiwatukane wapinzani

    Kuna mengi yanamsubiri kwenye Meza moja kubwa akishauri kukubaliana na Warioba kurudisha Katiba ya Wananchi bungeni na kuondoa katiba ya CCM.
  11. B

    Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

    Hapana jamani Mramba amezidi kiburi hakujali hata wakubwa wake.Inakuwaje anajiamulia maamuzi makubwa bila kutaka ushauri hata kwa Waziri? Anajiona bado yuko awamu ya NNE.Kheri ya mwaka mpya Mramba umetusumbua sana weeeee.
  12. B

    Jaydee afunga mwaka kwa kuonyesha talaka hadharani

    Gardner alizidi nae acha yamkute. Kila kitu bure mwenzake akienda mikoani kutafuta yeye anaonesha chaps kitandani kwa Jide. Sijui watu wengine bwana wako vipi? Anachoonesha Jide in nafasi iko wazi tujitokeze akina baba jamaa kabwaga manyanga.Ulevi bwana? Na wanaume kama mabinti.Aibu Gardner.
  13. B

    Ni wakati sasa wa Dr. Rioba kujitathmini

    Tido aliondoka kwa shindikizo LA mahojiano ya kampeni za ugombea Urais kinyume na matakwa ya chama tawala. Hawataki kuambiwa HAO waache waboronge muda unaisha.
  14. B

    Ni wakati sasa wa Dr. Rioba kujitathmini

    TBC wanaambiwa mini watangaze na mini wasitangaze. Ubunifu utoke wapi ? Rioba alikuwa mkosoaji nje ya uwanja, Sasa amepewa Nazi ulimi unamtoka anaomba dakika 90 ziishe. Keisha kabisa.
  15. B

    Inamaana Clouds TV ndo imekua TV ya taifa?

    Hawana jipya TV yao na Radio yao wameizuia kutoa habari LIVE walikusudia nini? Waliona watakuwa wanawazuia wabunge was upinzani kuonekana na kusikikika.Hawana jipya.
Back
Top Bottom