Pamoja na kwamba mimi ni Certified Player sijawahi kununua wanawake wanaojiuza barabarani.

Huwezi kuwa certified kama hujafika mikumi ya Element na kuchagua mnyama umtakaye.....welcome to the club. Remember condoms serves.
 
Wauza barabarani mbona wengi wanafanya kazi maofisini,Saloon,Mahotelini na wengine ndio hao mnaoibuka nao club na bar Wana trick sana usione umepata girl kilahisi sijui club au mtaa furani ukaona poa u mjanja tembea huko wanapojiuza ila sikushauri maana unaweza ukazirai
 
Ile profession ni toka enzi hizooo za kale, jaribu kupata experience siku moja utuletee mrejesho
 
I just explained, Sir.
No, you're not, Sir.
200w.jpg
 
Pamoja na kwamba mimi ni Certified Player, kununua wanawake wanaojiuza barabarani hapana.

Kuna msemo usemao wanawake wote wanajiuza isipokua mama yako, ila kununua malaya au makahaba wanaojiuza barabarani sijawahi na sitarajii.

Sio kwamba naowatafuna sio malaya, wanaweza kua malaya ila wanawake wanaojiuza barabarani au kama wale mkabala na mwananyamala hospitali siwezi aisee.

Mnaonunua ile mazaga mnapata wapi ujasiri wa kwenda kula watu namna ile ili nami angalau siku moja nijaribu.

Heri ya mwaka mpya 2017.
We wako una wanunua wapi?
 
Amakweli nchi hii umaskini hautakaa uishe jitu zima linajisifu eti ni lisatsfied player,linajivunia kuwa litenda dhambi za uasherati na ufirauni nonsense, wenzio wanajisifu kwa kuwa macertified engineer,accounts lawyer wewe unajisifu uzinzi uasherati umalaya,inabidi upimwe akili
 
Amakweli nchi hii umaskini hautakaa uishe jitu zima linajisifu eti ni lisatsfied player,linajivunia kuwa litenda dhambi za uasherati na ufirauni nonsense, wenzio wanajisifu kwa kuwa macertified engineer,accounts lawyer wewe unajisifu uzinzi uasherati umalaya,inabidi upimwe akili


Mkuu,
Binadamu hawafanani hata kidogo
Tungekuwa tunafanana wote tusingeelewana hata chembe,
Hivyo basi kila mtu na aishi apendavyo.
 
Sio kweli hao unaokula ndio hao hao ila hawjafika tu ila walikuwa wanaelekea barabarani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom