Humphrey Polepole: Tusiwatukane wapinzani

Kuna mengi yanamsubiri kwenye Meza moja kubwa akishauri kukubaliana na Warioba kurudisha Katiba ya Wananchi bungeni na kuondoa katiba ya CCM.
 
Nafikiri kuna somo hapa kwa vyama na mashabiki wao tuache tuneno tuje na hoja. Siasa yetu inaelekea kubaya.

Tuache shortcut za ukabila ukanda na kejeli za kujenga chuki use ccm cuf cdm tlp nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom